Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 17:36 on September 28, 2012, manka said…

haloo hujambo wewe?

At 14:00 on September 27, 2012, Lucie said…

we mvulana upo?

At 20:54 on September 25, 2012, Mama Malaika said…

Nipo Severin, asante sana. Nakuja haraka kuja kunywa hiyo togwa maana nina kiu ya togwa kufa mtu

At 8:09 on September 14, 2012, ANGELA JULIUS said…

JOHN MATONYA HUJAMBO?,

At 0:40 on September 9, 2012, Wa Kimberly said…

We mkaka upooo.

napita kuacha salamu.

At 20:53 on September 6, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Nina kiu ya togwa sijui nitapata?

At 1:28 on September 4, 2012, Wa Kimberly said…

pouwa severini,mi pouwa mzima wa afya njema.hofu kwako kaka yangu.

At 7:59 on August 30, 2012, dorcas syldion said…

poa hujambo?

At 6:24 on August 30, 2012, Moreen said…

ww mwanaume hujambo? Nimemiss ucheshi wako.

At 17:11 on August 20, 2012, MARTHA MSHANGA said…

waoooowwwww!!!!!so lovely,thank you very much my friend.

At 7:58 on August 10, 2012, ANGELA JULIUS said…

weweeeeeeeeee unataka kulia au kucheka? ngoja nakuja leo usiku utanikuta kwenye kona ya nyumba yako ha ha ha ha

At 17:42 on August 2, 2012, ANGELA JULIUS said…

TOTO MAMBO VP

At 17:19 on July 31, 2012, Mama Malaika said…

Nakuona tu unakatisha mitaani, habari ya siku tele? Unatunyima nini?

At 15:13 on July 27, 2012, ANGELA JULIUS said…

THANKS SANA SEVERIN NATAMANI HIYO CAKE INGEKUWA YA UKWELI

At 8:02 on July 23, 2012, ANGELA JULIUS said…

mpenzi wangu Severini mambo ya kumiss wake za watu uache ukitolewa manundu mimi sipo ohoooooo

At 14:53 on July 22, 2012, Wa Kimberly said…

Mambo pouwa severini,mi pia nimekumisije.

Stay well!

At 9:10 on July 17, 2012, ANGELA JULIUS said…

Nashukureu sana nawe pia Severin , yani ni jana tuu Severin nimetoka kukumbuka nikasema lol Severin kapotelea wapi na vituko vyake vya kichina ha ha ha lol kiukweli nimekumiss sana lol

At 8:31 on July 12, 2012, Georgia Mushashu said…

Niko pouwa Severin niaje uko fresh? Miss you

At 15:05 on June 23, 2012, Wa Kimberly said…

Mkaka nakusalimu.weekend njema.

At 9:45 on June 13, 2012, letty peter said…

nice having you!hope uko pouwa!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*