Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:20 on June 7, 2012, Hellen Attarsingh Gupta said…

Siku za mwisho wa mfumo huu wa mambo duniani, haya yalitabiriwa. Tusimame imara upande wa Yehova Mungu wa Kweli, tuwe salama.

At 11:54 on May 31, 2012, Lucie said…

Niko powa my frnd, mic u

At 21:10 on May 29, 2012, Wa Kimberly said…

pouwa mkaka,mi pouwa asante kwa salamu.hofu kwako.

At 12:29 on May 13, 2012, Wa Kimberly said…

Napenda kukusalimu rafiki.

At 13:53 on May 2, 2012, Mama Malaika said…

Vipi wazima wote hapa?

At 11:48 on April 14, 2012, Wa Kimberly said…

salama hapa?

At 0:59 on March 31, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Vipi pilau la Easter tunakaribishwa?

At 11:45 on March 20, 2012, Dixon Kaishozi said…

Upo kijana ? sijakuona kitaa mda.. siku njema!

At 10:31 on March 9, 2012, Rebecca Kasuwi said…

Asante sana kaka nice day.

At 7:55 on March 8, 2012, ANGELA JULIUS said…

kaka yangu Severin mimi nipo sijambo mbona unapotea sana weye? halafu siku hizi vimbwangwa vyako sivioni kwa sana au ulikuwa honeymoon nini na yule mtoto wa kiarabu, manake anga zako lol sijui nani anakukamata ha ha ha

At 10:37 on March 6, 2012, Agnes Nyakunga said…

mambo!

At 10:16 on February 22, 2012, jannie kikaro said…

thanks much , gud time

At 10:13 on February 22, 2012, Glory Kobas said…

poa vp

 

At 18:07 on February 10, 2012, ANGELA JULIUS said…

WEE UPOOO MBONA UNAPOTEA SIKU HIZI AU YULE BINTI MWENYE HIPS AMEKUKIMBIA?

At 13:56 on February 10, 2012, JULIETH WILLIAM RUGUMAMU said…

thanx so much ! eeh I have really appreciated!

At 16:01 on February 8, 2012, ANGELA JULIUS said…

SEVERINIIIIIIIII CHIZI WANGUUUUUUU WEEEE  NIMEKUMISSSSSS UCHIZI WAKO HA HA HA ASANTE SANA KWA SALAMU TAMUUUUUU MWENZIO SI NILIOTAAAAA ILE PICHA USIKUUUU LOL NI BALAAA

At 13:50 on February 6, 2012, Wa Kimberly said…

Severini kimya hicho,hujambo wewe.

At 16:42 on February 4, 2012, MARTHA MSHANGA said…
Nipo mydia wala sijapotea jamani,u mzima wewe?
At 3:26 on February 4, 2012, BARAKA FRANCO CHIBIRITI said…

Asante Mkuu Severin, ila bado siku moja! 05/02

At 12:19 on January 24, 2012, Lucie said…

mi npo wangu nmekumiss

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*