Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Belita's Comments
Comment Wall (352 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Belitaaaaaaaaaaaaa
Belita upo shosti?
Mimi mzima dada Belita, ww hujambo
Mrembo wa tulonge upo?
Belita asante kunikumbuka mpenda.
Mi mzima wa afya tele.majukumu tuu yamekuwa mengi.
Uwe na wakati mzuri rafiki.
Shost kwema?
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Ahsante sana Belita Nilishakaribia siku nyingi tu ila nilikua sichat wala si coment sasa ndio nakaribia kimaukweliii.. Thanks
Usihofu, najua uko kwa harakati za kukimbiza shillings maana imekuwa na speed kali kweli. LOL.... Nakutakia wakati mwema
Mama kapita kuacha baraka
Amani ipo hapa?
HAPPY NEW YEAR!
mrembo upoooo.
Safi dada Belita, mambo?
Hi sweetie! Its always nice to see you. Usipotee sana mama anaku miss. Uwe na wakati mwema
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service