Tulonge

Belita's Comments

Comment Wall (352 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:02 on September 2, 2010, hassan damnan said…
dada mie si mwalimu ela napenda sana kuwasaidia vijana hiyo ni hobby yangu na hii function mimi ndiye mtayarishaji wakaribishwa dada kuwa na moyo huo niliyo nao
At 9:22 on September 2, 2010, haji madawili said…
utaniona tu soon usijali mdau,pamoja
At 8:34 on September 2, 2010, Dixon Kaishozi said…
Nisiku nyingine tena! Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Siku njema.
At 15:32 on September 1, 2010, Mama Malaika said…
Mama kapita kukusalimia
At 15:31 on August 31, 2010, Dixon Kaishozi said…
Mchana mwema!
At 16:42 on August 30, 2010, CHA the Optimist said…
E bana mi nipo pouwa na imara kabisa kama kundi la The Wailers. Mambo vipi mtu wangu, asante kwa ujumbe.

PamoJah
At 9:14 on August 30, 2010, Alfan Mlali said…
Pooowa kabisa mdada. Vp Mambo yanakwendaje kipande ya huko kwako? Nakutakia mchana mwema!
At 18:22 on August 29, 2010, Dada said…
mambo poa dadab Belita. Mzima wewe?
At 11:56 on August 29, 2010, KUNAMBI Jr said…
thanx dada Belita karibu sana kwenye jukwaa la wadau, tujenge umoja wa vijana kwa kushauriana na kupeana habari za maendeleo.
At 10:34 on August 29, 2010, chaoga said…
nimepita kuacha kuacha baraka zangu
At 1:57 on August 29, 2010, likoni nyau said…
thanks kwa salamu,niko poa kabisa ,vipi nawe uko fresh?karibu tulonge.
At 1:06 on August 29, 2010, Severin said…
Karibu Tulonge dada

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*