Tulonge

Belita's Comments

Comment Wall (352 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 22:49 on February 6, 2012, ILYA said…

Dada uko wapi ndugu yangu,siku hizi sikuoni kwa Tulonge.Njoo bwana tulonge.

At 13:48 on February 6, 2012, Wa Kimberly said…

Mrembo hujambo jamani,mimi misn uu.

At 19:48 on February 5, 2012, Tulonge said…

Belita upo?umefichwa sana binti.

At 15:37 on January 23, 2012, ILYA said…

Dada niko fiti,habari za kwako sister.wape hai wabongo huko wambie tuko pa1.

At 11:25 on January 18, 2012, Omary said…

Thanks Belita nipo poa mihangaiko tu ya hapa na pale c  unajuwa maisha ya bongo lazima utaabike ndio ushike mkwanja.

At 9:59 on December 23, 2011, Vitus said…

At 2:41 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 16:31 on December 20, 2011, Mama Malaika said…

Mie tayari nilishapaki na kujiandaa kuja kwako kujakusina pilau

At 0:16 on December 18, 2011, ILYA said…

dada mambo,hujambo lakini.christmas unisahau.Niko naweka kijiko changu sawa,usipate tabu kuandaa kachumbari na ndimu,nitakuja navyo mfukoni.

At 12:45 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Salama hapa? Mie naja kula pilau la kurusumasi

At 20:18 on November 20, 2011, Mama Malaika said…

Asante sana kwa salamu. Ulikuwa kimya sana hadi mama akaingiwa hofu

At 22:46 on November 16, 2011, Silas A. Ntiyamila said…

Da betha nipo, mwenzio niende wapi?? Tunakula vumbi tu Dodoma!!

 

At 9:16 on November 15, 2011, Omary said…

Wazima Belita inakuwaje? dadaake uko poa?

At 20:59 on November 7, 2011, Wa Kimberly said…
shosti hujambo,mi mzima.
At 12:38 on October 31, 2011, Mama Malaika said…

Jamani nani kakuficha hivyo hadi mama nimeingia hofu, yabidi nitume ndege kikosi cha NATO waje wakutafute. LOL.....

At 20:26 on October 24, 2011, Elias Clement said…
poa nawe pia asante kwa kuni accept
At 9:00 on October 22, 2011, Omary said…
Mambo! Belita mzima? ww upo? Dadaake AMANI  kwako.
At 6:46 on October 5, 2011, Silas A. Ntiyamila said…

Nipo mi niende wapi??

 

At 8:38 on October 4, 2011, Omary said…

lol nipo bana mambo tu ndio mob inakuwaje? sister du wa tulonge,

majukumu yananipoteza m2 wangu yaani full mchakamchaka c unajuwa life la bongo dar linavyobana? ukilegea umekwisha then ukiangalia nyuma yako unakuta kuna watu kibao wanakuangalia ww  kwa kila ki2 so nazidi kukaza safari buti then  mwanzo mwisho mpaka kieleweke haya ndio maisha ya mvuja jasho wa nchi hii.

At 21:50 on September 26, 2011, BARAKA FRANCO CHIBIRITI said…
Nzuri kabisa dada, wewe je? Asante sana kwa kunikumbuka dada.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*