Tulonge

Belita's Comments

Comment Wall (352 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 15:41 on September 13, 2011, Mntambo Mburi said…
Ahsante Belita umenikumbusha! Mambo yamekuwa mengi hadi nilisahau kabisa tarehe!
At 9:54 on September 8, 2011, Omary said…
sikujuwa kama link yao inaishia magomeni mapipa?! lol.
At 2:05 on September 8, 2011, Gratious Kimberly said…
At 11:49 on September 7, 2011, patrick naiman said…
nipo my rafiki,wala sijakususa wajua ramadhan huku zenj unafunga kila kitu hadi huku kwa social networks,hi hi!asante kwa kunikumbuka karibu sikukuu ya sita,waijua hiyo?
At 10:42 on September 6, 2011, Omary said…
POA BELITA NIAJE? MAMA MZIMA? WW SORRY NILIKUWA NJE YA MJI NILISAFIRI NIKIWA NA MODEM YA TIGO BUT NJE YA DAR HAIFANYI?!.
At 23:40 on September 1, 2011, Tulonge said…
Hahhahaaaa binti mkono wangu umeng'ang'ania kidevuni,hautoki.
At 14:36 on August 31, 2011, Wa Kimberly said…
Shosti wangu Eid njema,i wish ningekuwa tz,hata harufu ya pilau ningeisikia kwa jirahi,yaani huku mmmmmmmmmmmmh.ndio kwanza nipo kazini.
At 22:10 on August 30, 2011, Gratious Kimberly said…
At 20:17 on August 30, 2011, Alfan Mlali said…
At 13:42 on August 24, 2011, Wa Kimberly said…
asante  belita i will.........
At 20:53 on August 12, 2011, Tulonge said…
Mzima Binti
At 15:51 on August 9, 2011, jemadari mimi said…
bely mambo vp hupo hapahapa dar,mbona kimya sana ?m2wangu hata sms na tatizo ,acha hizo tusalimiane sawaeeeh
At 7:48 on August 9, 2011, ANGELA JULIUS said…
nipo mamiiii si unajua tena long weekend hadi raha.
At 18:16 on August 3, 2011, ANGELA JULIUS said…
BELITA DEAR MAMBO VP BEST?
At 21:20 on July 31, 2011, Omary said…
2po poa m2 wangu.
At 18:04 on July 28, 2011, Omary said…
Pamojah we can vp uko  poa? lakini
At 17:43 on July 27, 2011, Omary said…

Hahahahahahah Belita mwehu! bafuni zimekuwa sabuni?!

sio muhimu saana kama vp potezea, sorry kwa usumbufu,

hv a nice jion.lol

At 14:31 on July 27, 2011, Mama Malaika said…
At 10:52 on July 24, 2011, Omary said…
Hi! Belita mambo! samahani kwa kukusumbua but uliniahidi na ahadi ni deni nakukumbusha kuweka pic nyengine pls sorry 4 dstb u my Dada.
At 19:34 on July 11, 2011, Omary said…

Ningependa nikuone ktk muonekao mwengine pia nikiona pics zako nyengine nitakuwa nakukumbuka hata tukikutana njiani nitakukumbuka kama hautajali pls.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*