Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
Hi ! Thank you very much for accepting my friend request! We hope to know each other more as time passes, much greetings. I'm helping a well known US based, international company to expand into Africa and the world with several award winnin g product featured in leading magazines, and with an exciting and potentially lucrative business opportunity, voted one of the best 2012's top 20 money making opportunities by businessforhome.org and recommended by Robert Kiyosaki, the best selling author of "Rich Dad, Poor Dad!" And the best part is the FREE DISTRIBUTORSHIP! Learn more about the company, its products and compensation plan by going to http://www.caesar2010.vemma.com/profi
Chaoga's Comments
Comment Wall (103 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
Valued Relationship can never be sustainably maintained by one society being subservient to another Society.
Mbunge wa viti maalumu kwenye jimbo muhimu,Hya mambo yanasemaje
Nasikia wananchi wako wanataka kuandamana eti kile kipimo cha TRA kimesabisha ongezeko la bei
Nuff Respect Nuff Love
PamoJah We Can help each other.
ONE LOVE ONE HEART ONE DESTINY!
Happy Birthday Kamanda
Happy Birthday!! Nakutakia siku njema iliyojaa amani na furaha tele
Kaka upo ? Long tyme!! Salam zangu kwako. weekend njema!
Habari za wote!
Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity
Bosi heshima yako.
Hi ! Thank you very much for accepting my friend request! We hope to know each other more as time passes, much greetings.
I'm helping a well known US based, international company to expand into Africa and the world with several award winnin
g product featured in leading magazines, and with an exciting and potentially lucrative business opportunity, voted one of the best 2012's top 20 money making opportunities by businessforhome.org and recommended by Robert Kiyosaki, the best selling author of "Rich Dad, Poor Dad!" And the best part is the FREE DISTRIBUTORSHIP! Learn more about the company, its products and compensation plan by going to http://www.caesar2010.vemma.com/profi
Kaka upo? Dah.. mda mrefu sana sijakatiza mtaa huu.. Salam zangu kwako!! Siku njema!
Amani ipo hapa?
Hapa kwema??napita tuu jamani.
Hamjambo wote? Wajukuu zangu wanasemaje? Wasalimie sana, waambie niko njiani
Siku njema!
Happy Birthday 2 wewe kaka! ndio umekamilisha mwaka wa mia moja au! hahahaha
Lakini makuku yapo tayari?!!
Heri ya siku yako ya kuzaliwa...
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service