Asante sana kwa salamu, wapo kila wakati Malaika ananiuliza kuhusu Jamila. Vipi watoto wazima wote? Huyo mdogo keshaanza kukaa? Nakuletea AK-47 kabisa ili kuwakomesha wapiga chabo. Ha haa haa
Mkutano wa Madktari kuhusu mafanikio yao katika taaluma yao. Daktari toka Ujerumani: Sisi kwetu alizaliwa kijana hana miguu tukamuwekea wa bandia na sasa ni mimbiaji wa Olimpic na ana medali tatu za Gold. Daktari toka China: Sisi alizaliwa binti hana matako kabisaa, tukafanikiwa kumuwekea ya bandia na sasa ni gumzo miongoni mwa wanaume kila apitapo mitaani. Daktari toka Tanzania: Akacheka sana na kusema hiyo cha mtoto, sisi kwetu alizaliwa kijana maeneo ya Bagamoyo hana kichwa, tukamuwekea NAZI tena KOROMA, na sasa ni RAIS wa nchi.
aaaaaa kaka Chaoga wala si utani si unajua mimi huwa sikutaniagi ilikuwa jmosi asubuhi tena ile jmosi ya 03.09.2011 maeneo ya ubungo wala sikutanii kaka yangu.
KAKA CHAOGA NAAZIMA OPA LAKO MANAKE KUNA SIKU ULINIRUSHA ROHO PALE UBUNGO NIKAMWONA NA MKWE WANGU KAJITULIZA PALE MBELE, KUMBE UKIWA NA WIIIIIIIIIIII HATA PEMBENI HUANGALII LOL ?
Chaoga's Comments
Comment Wall (103 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Mkuu naona unaendelea kuifukuzia sku yako ya kufa kwa kasi ya ajabu. Happy Birthday
Fungua link hiyo tafadhali. Ni Muhimu
http://tulonge.com/forum/topics/ndio-kusema-fotobaraza-inakufa-ama?xg_source=activity
karibuuuu nilikuwa nafanya mazoezi ya viungo sikusikia hodi yako kaka yangu ha ha ha ha
DADA KAPITA ANASEMA AMEKUMISS SANA, WAPE SALAMU WANANGU NA WIFIIII
Magere mubarak!!! oops ijumaa mubarak mzee wa uwanja wa fisi
vipi mambo yakoje huko lakini?
weekend njema iwe nawe.
Salama hapa? Vipi watoto hawajambo? Salimia wote
Asante sana kwa salamu, wapo kila wakati Malaika ananiuliza kuhusu Jamila. Vipi watoto wazima wote? Huyo mdogo keshaanza kukaa? Nakuletea AK-47 kabisa ili kuwakomesha wapiga chabo. Ha haa haa
Salimia sana wajukuu na mama yao
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service