Tulonge

Saint Pascal of Zanzibar's Comments

Comment Wall (47 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 22:23 on April 19, 2013, Tulonge said…

Happy Birthday

At 22:42 on December 17, 2012, CHA the Optimist said…

Habari za wote!

Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.

Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.

Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"

Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.

Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?

kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity

At 15:22 on April 19, 2012, Mama Malaika said…

Happy Birthday!!

At 22:49 on April 18, 2012, Tulonge said…

At 0:31 on January 25, 2012, Joan said…

Habari yako kaka wa Kiduku hahahaaaaa.Ulinifurahisha ulipokua unacheza kiduku

At 22:24 on January 21, 2012, Gratious Kimberly said…

Mzee wa Kiduku kwema hapa...weekend inasemaje huko?  cheers kwa mbali basi..tehtehteh!!

At 2:52 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 21:45 on December 21, 2011, Tulonge said…

At 6:59 on December 3, 2011, Joan said…

habari kaka

At 12:41 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Habari ya siku nyingi? Umejificha wapi?

At 8:03 on August 3, 2011, Tulonge said…
Weka bia yako chini kaka, hujui mwz mtukufu huu
At 22:30 on April 18, 2011, Tulonge said…
Happy birthday
At 21:47 on December 19, 2010, Belita said…

Hapa vp?

At 10:16 on November 8, 2010, Erick Chikolongo said…
Kaka mambo poa kabisa,jana nilikucheck nikataka nikuongeze kitu cha dodoma.
hahahahaaaa nambie kijana
At 21:51 on October 28, 2010, Moreen said…
Mamboo
At 21:30 on October 28, 2010, Belita said…
Jamani kaka Pascal mbona humalizi hiyo bia?
At 19:07 on October 23, 2010, Mtemi said…
Asante mkwe wangu karibu sn ugali na dagaa
At 21:31 on October 16, 2010, CHA the Optimist said…
PamoJah
At 22:24 on October 12, 2010, Tulonge said…
At 18:48 on October 9, 2010, CHA the Optimist said…
salama ndugu yangu?

PamoJah

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*