Join Tulonge
Daah,Kunambi upooo kweli.salamu zangu zikufikie huku ulipo.
HAPPY NEW YEAR!
Kaka, habari za wapi? Nimefurahi kuona uwepo wako tena! Karibu na siku njema!!
kaka wewe mzima?
Hujambo? Mama kapita kusalimia, sijui kuna togwa? nasikia kiu
Amani ipo hapa?
Karibu sana wangu
salaam ndugu.
Nakusalimu Boss.
Hv a great weekend.
Kunambi upo kweli.nakusalimu Rafiki.
Salama nyumbani hapa?
ha ha haaa,mi nimekumiso zaidi,uwe na wakati mzuri.
Mkuu upo,nimepita kukusalimu.mi missn u.
Haya nimeweka zilipendwa kwenye play-list pale home page. Unaweza kukumbukia enzi zile
Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!
Kumbe na wewe ni Fataki? Nasikia wataka kuuza shamba lako la Vigwaza ajili ya kwenda kulipa mahari kule Washington DC (White House). Ha haa haaa
Welcome toTulonge
Sign Upor Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service
Please check your browser settings or contact your system administrator.
KUNAMBI Jr's Comments
Comment Wall (93 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Daah,Kunambi upooo kweli.salamu zangu zikufikie huku ulipo.
HAPPY NEW YEAR!
Kaka, habari za wapi? Nimefurahi kuona uwepo wako tena! Karibu na siku njema!!
kaka wewe mzima?
Hujambo? Mama kapita kusalimia, sijui kuna togwa? nasikia kiu
Amani ipo hapa?
Karibu sana wangu
salaam ndugu.
Nakusalimu Boss.
Hv a great weekend.
Kunambi upo kweli.nakusalimu Rafiki.
Salama nyumbani hapa?
ha ha haaa,mi nimekumiso zaidi,uwe na wakati mzuri.
Mkuu upo,nimepita kukusalimu.mi missn u.
Haya nimeweka zilipendwa kwenye play-list pale home page. Unaweza kukumbukia enzi zile
Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!
Kumbe na wewe ni Fataki? Nasikia wataka kuuza shamba lako la Vigwaza ajili ya kwenda kulipa mahari kule Washington DC (White House). Ha haa haaa
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In