Aha haaaa... mie nataka kuishi kibandani sitaki nyumba mpya aliyoijenga Omary. Umeona tsunami lakini huko Japan? Nyumba mpya na matofali yale ikianguka si ndio itaniua? Bora kibanda hakitoleta madhara sana.
chumba ki 1 shaka toa kile kibanda sijakibomoa bado kipo kwani hata hii kubwa haijaisha so bado nalala kibandani mwambie Mama akaribie sana kibanda kinamsubiri ila asije akatoka nduki akizani kitamdondokea hakidondoki nimeweka sapota kibao ndani kimeshikiliwa na nguzo.
teh teh teh teh,yaani umeniua hivyooo? dah, utafkir hjui kabila yangu kama mi mpogoro unanipa maeneo ya kwenu mi co kabila 1 na ww labda kitutu na fredy. mwanao hajambo?
Safi sana kusikia ume apply. Nitafurahi sana iwapo utafanikiwa, tena itabidi hiyo siku tutakuja kukupokea Heathrow na tukuandalie na sufuria na sahani kabisa ya kwenda nayo chuoni. Ila yabidi uiletee na mjukuu wangu nikae naye hapa tuwe tunachunga kondoo na farasi. Ha haa haaaa
Ujue chuo kiko hapa mjini kwetu ingawa sie twaishi nje kidogo (kijijini) just 10miles from the university college campus.
KUNAMBI Jr's Comments
Comment Wall (93 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Kwani ww hujawahi iona hii video http://tulonge.com/video/suma-lee-hakunaga-official-video
Nipo kaka Kunambi,wewe tuu uminichunia.weekend njema.
More Ramadan | Forward this Graphic
Ni full shangwe baada ya kum-kill Osama
Bosi,mkurugenzi........,nakusalimu mkuuu.
Aha haaaa... mie nataka kuishi kibandani sitaki nyumba mpya aliyoijenga Omary. Umeona tsunami lakini huko Japan? Nyumba mpya na matofali yale ikianguka si ndio itaniua? Bora kibanda hakitoleta madhara sana.
Salama lakini? Mjukuu anasemaje?
elimu ya ujenzi ni ya mtaani.com
chumba ki 1 shaka toa kile kibanda sijakibomoa bado kipo kwani hata hii kubwa haijaisha so bado nalala kibandani mwambie Mama akaribie sana kibanda kinamsubiri ila asije akatoka nduki akizani kitamdondokea hakidondoki nimeweka sapota kibao ndani kimeshikiliwa na nguzo.
teh teh teh teh,yaani umeniua hivyooo? dah, utafkir hjui kabila yangu kama mi mpogoro unanipa maeneo ya kwenu mi co kabila 1 na ww labda kitutu na fredy. mwanao hajambo?
Safi sana kusikia ume apply. Nitafurahi sana iwapo utafanikiwa, tena itabidi hiyo siku tutakuja kukupokea Heathrow na tukuandalie na sufuria na sahani kabisa ya kwenda nayo chuoni. Ila yabidi uiletee na mjukuu wangu nikae naye hapa tuwe tunachunga kondoo na farasi. Ha haa haaaa
Ujue chuo kiko hapa mjini kwetu ingawa sie twaishi nje kidogo (kijijini) just 10miles from the university college campus.
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service