Tulonge

KUNAMBI Jr's Comments

Comment Wall (93 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 19:41 on March 9, 2011, Mama Malaika said…
(((((( Kunambi.... mama kapita kukujulia hali )))))))
At 8:57 on March 8, 2011, Severin said…
Kuwa na siku njema
At 8:57 on March 8, 2011, Severin said…
Kuwa na siku njema
At 14:53 on March 7, 2011, amina hassan okash said…
kwani we hujui jina la okash limetoka wapi?, au unafkiri limetoka nanjilinji?
At 13:52 on February 21, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa? Mama kapita kuacha baraka za week
At 18:26 on February 4, 2011, Gratious Kimberly said…

At 17:31 on February 2, 2011, Alfan Mlali said…
Nipo nipo mkuu!
At 18:40 on January 28, 2011, Gratious Kimberly said…
At 6:40 on January 24, 2011, Lilian said…
Thanks for the add boss
At 22:54 on January 20, 2011, Mtemi said…
Habari kaka Kunambi
At 0:37 on January 20, 2011, Diana said…
Huyo Diana mwenyewe unayemfahamu ni yupi? km huyu cyo mwenyewe?
At 23:56 on January 19, 2011, Tulonge said…
Duh! ulijua nani kafa mwana?
At 11:10 on January 19, 2011, Wa Kimberly said…
vp kunambi habari ya wewe?umekubali mi mzalendo?nipo tz,kwa sasa nipo arusha.
cku njema
At 21:45 on January 7, 2011, Tulonge said…
Hahahaaaaa kaka usijali wala nn,copy siyo ishu sana.Nafyatua hata kesho kama nikitaka,si unajua vibao vya kufyatulia vipo vingi tu hahahahhaaaa
At 23:04 on January 3, 2011, Severin said…
Nashukuru mkuu nimeuona mwaka salama.Kijiji chetu cha tulonge kinaenda fresh sna. tupo sote
At 20:57 on January 3, 2011, Tulonge said…
Sambaza hiyo kwa marafiki zako kibao walio vijiji vingine ili wajiunge na tulonge.
At 20:42 on January 3, 2011, Tulonge said…
Amen,nashukuru sana kwa mibaraka kibao toka kwako.Najua mwaka huu
utakuwa wa mafanikio sana. Hamna noma boss,itabidi tuonane ili tuone nn
cha kufanya.This time itabidi niweke uvivu pembeni mtu,maana mimi ni
mvivu sana. 2PO PA1
At 13:39 on January 3, 2011, Wa Kimberly said…

mambo pouwa m2wangu.

hofu kwako.

At 13:38 on January 3, 2011, Wa Kimberly said…

Asante kunambi,ila sio mkali kiivyo bana.

ahaa haaa.

At 23:22 on December 31, 2010, George said…
Mkuu ninakutakia maandalizi mema ya kuukaribisha mwaka 2011 na Mungu akubariki sana kwa kila utakacho omba mwaka 2011.

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*