Tulonge

KUNAMBI Jr's Comments

Comment Wall (93 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 20:05 on August 31, 2010, George said…
Asante sana Kaka lazima nikaribie huko nami nitengeneze shavu nililo nalo bado ninahitaji kuliongeza kwa kubadili mapochopocho ya aina tofauti.
At 20:59 on August 29, 2010, George said…
Kaka raha ujipe mwenyewe kwanza ukisubiri kupewa siku zinaenda alafu maisha ndio hivyo tena mafupi. Uwe na siku njema Kaka.
At 19:00 on August 29, 2010, George said…
Hahahaha Kaka huko lazima nikuombe unikaribishe maana na mimi swala la kula linanichukulia muda sana haswa vyakula hivyo ulivyo nitajia da!! mate yananitoka kaka...!! Hiyo ndio starehe pekee iliyo na faida mwisho wake kaka.
At 1:13 on August 29, 2010, Moreen said…
Aisee! Hongereni sana,bila watu kama nyie sidhani kama marafiki tungekuwa tunakutana online kama hivi. Nimeitembelea blog yako,imesimama sana,keep it up man.
At 0:21 on August 29, 2010, Belita said…
Nimepita kukujulia hali kaka
At 19:57 on August 27, 2010, George said…
Hahahahahaa safi sana Mkuu mwili unajengwa kwa mapochopocho nakubali kabisa si unaona jinsi ulivyo toka chavu! Mambo poa kabisa maisha tu ndio yanabana, vipi huko unatunyima nini?
At 19:18 on August 27, 2010, Moreen said…
Athumani kumbe umesoma IT? Watu wa IT huwa ni wajanja sana. Inaonekana na wewe ni mtundu sana,au uwongo?
At 6:51 on August 27, 2010, Diana said…
Acha kunchekesha Athumani, ni nn kinakufanya ushangae kiasi hicho?
At 22:06 on August 26, 2010, Mtemi said…
Habari mkaka mzima lakini
At 12:58 on August 26, 2010, Alfan Mlali said…
Mkuu kwema hapa? Nakutakia siku njema!
At 3:35 on August 26, 2010, George said…
Mkuu mambo vipi? Aise hiyo milo hapo juu ni hatari tupu.
At 18:23 on August 25, 2010, Tulonge said…
Duh! mwana naona umeshatia tim,Karibu sana.Hiyo ishu ya pic nilisha iona. Naifanyia kazi
At 21:01 on August 24, 2010, Tulonge said…
Kumbe umeshatia timu mkuu. Karibu sana

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*