Tulonge

Araway kikaho's Comments

Comment Wall (23 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 7:50 on October 3, 2013, Mama Malaika said…
Habari ya miaka mingi? Asante sana kwa salamu. Nakuona una-beep kijijini, au ndio malezi yamebana sana? Salimia mjukuu na mkwe wangu. Usipotee hivyo
At 8:46 on September 24, 2013, ANGELA JULIUS said…

KAKA NILINUNA SASA HASIRA ZIMEISHA HAYA VP LAIKINI MWANANGUI NA WIFI YANGU HAWAJAMBO WOTE? WEWE JE HAUJAMBO SINAYO NUMBER YAKO NILIKUWA HAPO MORO KIKAZI SUA KAMA TRIP MBILI HV NA HUKU KWENYE MTANDAO HAUONEKANIKI NIKAONA HATA NIKIKUTAFUTA THROUGH TULONGE UJUMBE UNGEFIKA LATE SANA. HAYA WAPE SANA SALAMU ZANGU HAPO MORO BILA KUWASAHAU HAO NDUGU ZANGU.

At 16:13 on August 30, 2013, mtotomzuri said…

hongera jamani  loo umekuwa mbaba sasa

At 11:20 on December 18, 2012, mtotomzuri said…

araway una mutoto?//sipati picha maana wifi mcuteee sana

At 9:06 on November 28, 2012, ANGELA JULIUS said…

wewe ndugu yangu tangu umeoa hata kunitafuta imekuwa nongwa?,

Nakupa hongera naona tayari umeniletea shangazi mwambie namsalimu sana pia mpe salamu wifiiiiii

At 17:00 on November 21, 2012, Mama Malaika said…

Mie nipo hofu kwako tu, mambo huonekani au ndio majukumu ya kubadirisha nappies? Ha haaaa....

Wajomba zako wamejaa tele? Haya niambie mtoto na mama yake hawajambo?

At 14:54 on September 15, 2012, Mama Malaika said…

Kijana hujambo? Nakuona tu shavu lako lang'ara mitaani, na huyo ndio mjukuu au nani?

At 20:58 on September 14, 2012, Tulonge said…

Pole sana kwa majukumu mkuu. Ndiyo ukubwa huo.Pa1 sana

At 12:20 on September 13, 2012, Dixon Kaishozi said…

Salamu zangu za kufufuka nazileta kibarazani.. tehehee... Nimefurahi kusikia kutoka kwako, Asante kwa kutukumbuka.. Kwa upande wangu Namshukuru Muumba kwa kuniweka mzima wa afya!! Karibu tena kijijini. siku njema.

At 23:55 on September 10, 2012, Tulonge said…

Karibu tena mkuu, habari ya kufichwa?

At 18:18 on September 30, 2011, Tulonge said…
Happy birthday
At 20:10 on September 29, 2011, Mama Malaika said…

Denzil anasema hongera kwa kupata jiko

At 20:10 on September 29, 2011, Mama Malaika said…
Happy Birthday!
At 12:57 on November 18, 2010, Tulonge said…
Picha wapi kaka? Au unaogopa kuuza nyago siku hz hahhaaaa. Amani kwoko boss,2po pa1
At 10:41 on September 30, 2010, cecilia kayombo said…
happy birthday buddy....hv a big one.
At 22:41 on September 29, 2010, Tulonge said…
Happy Birthday
At 21:18 on September 29, 2010, Severin said…

At 0:29 on September 8, 2010, Severin said…
Kaka yaelekea umeficha sana. Maana kimya kingi.
At 15:47 on September 2, 2010, Mtemi said…
Ahh kawimbo nahisi dj wangu alikuwekea ulivyofika uburudike mwaya.. uwe na wakati mwema na salam kwa wote
At 17:53 on September 1, 2010, Mama Malaika said…
Abeee.... nilikuwa sijakusikia Araway. Si unajua tena bado niko na kamba miguuni najitahidi kuwa mwenyeji. LOL....
Habari ya siku nyingi? Nimeku miss sanaaaaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*