Tulonge

Emmanuel Kibassa's Comments

Comment Wall (50 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 7:03 on December 11, 2010, Mtemi said…

Mamboz kaka

At 23:59 on December 10, 2010, Belita said…

Acha hizo kaka Ema,sijakutupa wala nini. Unajua smtimes nabanwa na kz za watu nduyomaana sionekani,ila tupo pamoja sana. Nibakishie nyama ya mbuzi,hv karibuni nitakuwa Dodoma.

At 9:13 on December 3, 2010, Dixon Kaishozi said…
Nimesha toka Dodoma, nadhani mambo ya mtandao siyo mazuri kwani nilikutafuta sana kwa number ya simu uliyoweka hapa mara kadhaa bila mafanikio. Hope tutaonana wakati mwingine.
At 9:11 on November 26, 2010, Dixon Kaishozi said…
Hello, mambo vipi? Nipo Dodoma. Natumaini tutaweza kuonana! PamoJah.
At 13:25 on November 21, 2010, Belita said…
Kaka Ema umepotelea wapi?
At 21:27 on November 2, 2010, Diana said…
Ema hujambo kaka.
At 21:10 on October 25, 2010, Belita said…
Wewe HB upo?
At 10:27 on October 16, 2010, mpeni kabaka said…
wife yuko poa anaendekeza libeneke la kazi.
At 21:32 on October 14, 2010, Belita said…
Hee! pole sana,kumbe haupo na mama yake tena? Mungu amlaze pema peponi mama Mage.
At 20:52 on October 14, 2010, mpeni kabaka said…
saw mkuu mimi niko poa ila ful kufua jacq hajambo
At 19:31 on October 14, 2010, mpeni kabaka said…
Kijana unanikosea heshima sema kaka karibu kwenye tulonge. Asante kijana
At 11:55 on October 10, 2010, CHA the Optimist said…
PamoJah
At 1:20 on October 10, 2010, Diana said…
Nyie wanaume mna matatizo sana.
At 1:17 on October 10, 2010, Moreen said…
Kumbe wewe ni mtaalam wa makoptuta,hongera sana. Usijali Ema siku moja nitakuja Dom uwe mwenyeji wangu. Nile nyama choma hadi niziache. Wasalimie wote huko. Na mkeo msalimie teh teh teh
At 1:53 on October 9, 2010, Diana said…
Walikuwa wananisumbua hadi shem wao akajua nina uhusiano nao ndo maana niliwapa No ya simu,ndomaana sasa hv naogopa sana.
At 1:48 on October 9, 2010, Moreen said…
Ok,nilivyoona Dodoma nikajua mgogo. Mimi nilishamaliza shule wangu. Nipo nafanya kazi zangu binafsi. Wewe je?
At 23:15 on October 7, 2010, Moreen said…
Nipo Dar kaka,wanasemaje Dodoma. Wewe ni mgogo?
At 1:49 on October 7, 2010, Diana said…
Mimi nipo wangu,unataka namba yangu ya nyumba au kiatu?
At 21:39 on October 5, 2010, Diana said…
Wewe ndo upo kimya,nadhani umepata chungu kipya sasa unatupa cha zamani.
At 21:32 on October 5, 2010, Moreen said…
Ema umepotelea wapi?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*