Tulonge

Dada's Comments

Comment Wall (63 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 7:13 on October 15, 2010, Tulonge said…
Hivi unafahamu kuwa umefichwa sana siku hizi?
At 20:57 on October 14, 2010, Severin said…
Dada siku hizi haupo kabisa,umepotelea wapi?
At 10:22 on October 11, 2010, Dixon Kaishozi said…
Mimi na mwenzangu hatujambo kabisa... Thax God tunapumua kama kawaida.
At 9:30 on October 11, 2010, Dixon Kaishozi said…
Dada Dada Dada..... Natumaini upo powa kabisa. Nakutakia mwanzo mzuri wa wiki.
At 12:19 on October 10, 2010, CHA the Optimist said…

PamoJah
At 12:39 on September 24, 2010, Dunda said…
Sawa nimekupata na nimekusikia nitaakikisha salam zitakufikia na dawa zako pia
At 8:39 on September 22, 2010, Dixon Kaishozi said…
Hodi pande hizi... Natumaini kumekucha salama. Asante kwa comment.. u made my day.. lol.. Siku njema.
At 6:39 on September 22, 2010, Tulonge said…
Halafu ww mdada mbona kwenye hii pic unaonekana umechoka sana? Kwani vp?
http://tulonge.ning.com/photo/bustanini-nikingoja-msosi-1?context=latest
At 19:59 on September 20, 2010, CHA the Optimist said…
DEAR Dada, mambo vp?
At 21:02 on September 17, 2010, Tulonge said…
Huyo aliyekuficha mwambie apunguze mawivu. Nitakuja kukuiba moja kwa moja tuone atanifanya nn.
At 16:16 on September 17, 2010, CHA the Optimist said…
Usalama upo hapa?
At 15:34 on September 17, 2010, CHA the Optimist said…
Salama dada?
At 15:31 on September 17, 2010, CHA the Optimist said…
She Car More
At 19:59 on September 12, 2010, George said…
mmhh!! Dada upo mzima lakini? ukimya wako unatisha.
At 22:39 on September 9, 2010, Alfan Mlali said…

At 22:06 on September 8, 2010, George said…
Da...!!! Mbona unanikosesha amani hivyo! pole sana aise naimani wewe hautakuwa mvivu wa kunywa dawa na kunywa maji kwa wingi, nakuomba sana ujitahidi kutumia vitu hivi upate nguvu mapema siunajua tena sikukuu iko mlangoni. Pole sana Dada
At 21:39 on September 6, 2010, George said…
Hahahahahaaa kama vile ulimuona Kanji Bhai akiwa anahangaika jinsi ya kuniachia. Lakini nitamtoroka tu. Vipi lakini wewe mzima? Mimi kidogo mafua wiki hii yamenikosesha amani lakini kwa sasa niko poa.
At 9:20 on September 6, 2010, Chui Mfalme said…
asantiii dada, Nimewakosa sana wadauuuu.
At 7:46 on September 6, 2010, Belita said…
Dada umepotelea wapi?
At 20:47 on September 4, 2010, George said…
Safi sana Dada nimefurahi kweli kusikia umejianda vizuri kwa sikukuu, sasa kwa hilo swala la gauni mbona nidogo sana...!! wewe nipe ofa ya mtoko tu sikuhiyo na wewe nakuja na gauni mwenyewe tena sio gauni peke yake nakulete na pochi.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*