Tulonge

Dada's Comments

Comment Wall (63 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 20:04 on September 2, 2010, George said…
Pole sana Dada yangu, Kumbe shughuli unayo huko uliko olewa! pole sana. Ni kweli kabisa ukisha ajiriwa sehemu unakuwa kama umeolewa na huna ujanja , yani mimi haya maisha yananikera sana basi tu maisha magumu na sina ujanja inabidi kukubli tu ili tumbo lipate kushiba. Vipi Idd umeiandaaje?
At 13:13 on September 1, 2010, Don M said…
Dada hiyo Wine tafadhali nitunzie maana nakuja DODOM muda si mrefu!!
vipi mzima lakini?
At 19:52 on August 31, 2010, George said…
Du!! Dada yangu mbona uliondoka kimya kimya jamani wakati nilikuwa ninajiandaa kukusindikiza? Aise tuko poa kabisa huku kwenye jiji lililo jaa karaha na vibaka wengi. Vipi wewe huko watunyima nini?
At 16:43 on August 30, 2010, CHA the Optimist said…
matangazo ya biashara yanaruhusiwa kijanjajanja, ila mkuu wa kijiji akijua ataku-charge.
At 19:14 on August 29, 2010, George said…
Niko Mzima kabisa Dada na kina Kanji Bhai pamoja na wengine wazima kabisa. W'end yangu ilikuwa poa sana japo nilishinda nimejifungia ndani. vipi huko kwema lakini? bado upo huku kwetu?
At 0:20 on August 29, 2010, Belita said…
Dada mambo.
At 15:19 on August 28, 2010, Alfan Mlali said…
Mambo vp mdada! Have a nice mwisho wa wiki!
At 19:41 on August 27, 2010, Diana said…
Mimi mzima dear,niliona nije nikutembelee shosti yangu. Nakutakia cku njema dada.
At 7:09 on August 27, 2010, Diana said…
Mambo vipi Shosti.
At 7:04 on August 27, 2010, Severin said…
Dada umepotelea wapi?
At 22:04 on August 26, 2010, Mtemi said…
Nimepita kukusabahi dada
At 12:13 on August 25, 2010, mohamed juma said…
hiii usiogope picha dadake, , inshu zikoje? wanasemaje Dom?
At 20:59 on August 24, 2010, Tulonge said…
Hhaahaaa Dunda umemstukia kuwwa huyu ni muislam magilini. Anagangesha glass za wine wakati watu tupo kwenye swaumu.
At 8:26 on August 24, 2010, hassan damnan said…
asalam alaikum dada nakushukuru kwa kunikaribisha nami nimekaribia na niko ndani ya meli shukran
At 21:23 on August 22, 2010, Dunda said…
Dada mfungo wote huu unagonganisha glasss
ama kweli tembea ujioee
At 16:15 on August 21, 2010, Tulonge said…
Hahahaaaaaa Jamani macho hayana pazia,chochote kilicho wazi nakikodolea macho tu. Macho yangu yaliona kitu kinang'aa sana kidoleni,nikaamua niulize hahaahaaaaa.
At 21:26 on August 20, 2010, Mtemi said…
Karibu sana dada
At 20:57 on August 20, 2010, Tulonge said…
Hahahaaaa mimi cjaoa ww, Lilian mzushi sana.
At 15:59 on August 18, 2010, CHA the Optimist said…

At 15:58 on August 18, 2010, CHA the Optimist said…
She Car More

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*