Tulonge

Regina Lipyana Haule's Comments

Comment Wall (20 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 21:51 on February 2, 2016, Dunda said…

Hapa kwema?

At 12:09 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Wa kunyumbi upo? Nimepita kukusalimia
At 16:03 on July 10, 2014, Lilian said…

Regina upo dada?

At 11:17 on January 7, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year! Habari ya siku nyingi? Mbona umepotea sana ndugu yangu? Njoo tule ugali na samaki wa ziwa Nyasa
At 11:15 on October 22, 2013, Mama Malaika said…
Habari ya siku tele? Nimepita kukusalimu naelekea ziwani kula ugali mhogo na samaki.
At 23:53 on August 11, 2013, Severin said…

Habari ya hapa dada mzuri

At 16:36 on February 15, 2013, Mama Malaika said…

Salama hapa? Naona kimya kingi, Malaika auliza uko tayari akupitie twende kunyumbi Mbamba Bay?

At 19:40 on November 7, 2012, Belita said…

Mambo?

At 16:44 on November 1, 2012, Mama Malaika said…

At 20:18 on October 21, 2012, Mama Malaika said…

At 13:28 on September 26, 2012, Mama Malaika said…

Mbona kimya sana nyumba hii? Natuma CIA waje kukusaka na huyo aliyekuficha.

At 19:47 on September 9, 2012, Moreen said…

Shost hujambo

At 20:50 on September 6, 2012, Mama Malaika said…

Hujambo wa kwetu? Karibu tule ugali na samaki wa ziwani.

At 6:25 on August 30, 2012, Moreen said…

Hodi hapa,kwema shosti?

At 23:19 on August 23, 2012, Tulonge said…

Amani ipo hapa?

At 5:21 on July 27, 2012, Severin said…

At 13:54 on July 23, 2012, Mama Malaika said…

Karibu sana Regina. Ha haa haa.... Wahehe watani wangu ila usiseme sana, wakileta ujanja nitawatumia mamba toka Mbamba Bay awatafune.

 

At 7:46 on June 3, 2012, Severin said…

At 21:27 on May 25, 2012, Severin said…

Mambo yako vipi dada?

At 13:44 on May 25, 2012, Mama Malaika said…

Karibu sana Regina. Habari za kunyumbi uko?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*