Tulonge

Hashim Said's Comments

Comment Wall (23 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:38 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.

Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.

Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.

PamoJah

At 9:33 on September 4, 2013, Mama Malaika said…
Nakutakia kila la kher kwa siku yako hii ya kuzaliwa. Mola akujalie maisha yenye afya na amani.
At 21:44 on February 22, 2013, Mama Malaika said…

Abeee! Nimeitikia, lol.... Nimefurahi kusikia toka kwako. Natumai uko mzima wa afya.

At 10:14 on February 22, 2013, Mama Malaika said…

Hashim bin Said, habari ya siku tele? Naona twapishana tu kijijini, Arusha watunyima nini? Nakutakia weekend njema

At 7:51 on February 16, 2013, Tulonge said…

Hamna shaka mkuu, nikitia maguu huko lazima niwasake.Pa1 sana

At 12:18 on February 14, 2013, Dixon Kaishozi said…

Kwema kabisa ndugu!!! yeah inatokea tunapotezana kidogo kutokana na pilikapilika za hapa na pale. kikubwa uzima!! Nashukuru kusikia kutoka kwako. Siku njema!!!

At 15:20 on February 12, 2013, Lucie said…

Hashim mambo?

At 12:01 on February 4, 2013, Dixon Kaishozi said…

Kaka tupo JIJI MOJA ? Nimekukumbuka ndugu yangu,.. siku njema!

At 11:53 on February 4, 2013, Mama Malaika said…

Hamjambo?

At 23:23 on August 23, 2012, Tulonge said…

Amani ipo hapa?

At 2:32 on June 7, 2012, Mama Malaika said…

Habari za Arusha? Naona kimyaaa... yaelekea wenzetu mnafaidi vinono huko

At 11:11 on May 3, 2012, Ruth Alfred Hongoli said…

Hashimu,hata mie sikutegemea kama na huku unapatikana.Wewe ni nonmaaaa!!!!!!!!!!!!!!

At 9:03 on May 3, 2012, Tulonge said…

Hiyo ilikua safi sana mkuu, na mimi nikija tutameet. Ila sikukuona ukisakata mayenu kama kina Dixon,Lucie na Angela.

At 21:05 on April 4, 2012, Tulonge said…

Ni aje Hashim, naona mlikutana na dada Angel ndani ya A town. Hiyo bomba sana

At 1:46 on February 2, 2012, Belita said…

Hi

At 7:31 on January 29, 2012, Joan said…

Thank you for the add Hashim.Mzima lakini?

At 9:15 on January 10, 2012, Dixon Kaishozi said…

Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!

At 1:07 on January 4, 2012, Mama Malaika said…

Nilikuwa napanga nije nikuchukue nikulete Tulonge bali Angela akawa ameniwahi. Ha haa haaa

At 4:13 on January 1, 2012, Dunda said…

Ahsante Hashimu na ningependa kukutakia kheri ya hii No mpya 2012 iwe yenye mafanikio na furaha mioyoni mwkao na familia yako

At 21:44 on December 30, 2011, Mama Malaika said…

Karibu Hashimu! Habari ya siku tele?

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*