HA HA HA LOL KWA SIASA WEWE SIKUWEZI HAYA BANA HUYO CHOTARA WA KIJERUMANI HA HA HA NGOJA NIMPIGIE SIMU GRATIOUS AMTAFUTE BABU YAKE KAMA KWELI KULE UJERUMANI TUJUE NA OLE WAKO ASIPOPATIKANA TUU IMEKULA KWAKO.
Ila Angela huyo dogo ni mtoto wa Dadaangu bhana naona wewe umeisahau Tanga kuna kila rangi si unajuwa wajerumani na waarabu waliacha mbegu kule so hata ukigongewa unasema labda kaebda kwa Bibi lol pamojaj mtu wangu Faisal lazima achukuwe kipusa hicho lol.
hee mzee mwenzangu mara hii umeanza kupata mtoto wa kizungu lol kweli wewe kiboko manake hiyo profile pic yako siielewi na kama ni hivo mwanao feisal hapa kwangu simtaki nahisi atakuwa na nyayo za baba bure ha ha ha,
Hodi hapa!! sasa nimekua kidogo nimeweza kupita hapa.. hahahaaa.. umenichekesha sana, eti nitatangulia kuzeeka.. hahahaa.. ndiyo vzr ili uweze niudumia.. hahahaaa!! Nashukuru kwa salam zako. Natumaini upo poa kabisa. Nikutakie wakati mzuri. Pamoja sana kaka!!
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Omary's Comments
Comment Wall (123 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
Ommy upo?
Habari ya kwako!
HA HA HA LOL KWA SIASA WEWE SIKUWEZI HAYA BANA HUYO CHOTARA WA KIJERUMANI HA HA HA NGOJA NIMPIGIE SIMU GRATIOUS AMTAFUTE BABU YAKE KAMA KWELI KULE UJERUMANI TUJUE NA OLE WAKO ASIPOPATIKANA TUU IMEKULA KWAKO.
hee mzee mwenzangu mara hii umeanza kupata mtoto wa kizungu lol kweli wewe kiboko manake hiyo profile pic yako siielewi na kama ni hivo mwanao feisal hapa kwangu simtaki nahisi atakuwa na nyayo za baba bure ha ha ha,
vp lkn wazima?
Hahahhhaha utafiti gani huo kaka Omary, mimi kila siku nipo hapa.Ila huwa napita kimya kimya
HBD mkuu, kumbe na wewe ulizaliwa? mimi nilidhani uliibuka toka msituni
Nuff Respect Nuff Love
PamoJah We Can help each other.
ONE LOVE ONE HEART ONE DESTINY!
Heri ya kuzalika Mdogo wangu.. siku 10 si mchezo!!! tehee.. Mungu muweza wa yote akutangulie na kukupa hitaji la moyo wako. Enjoy ur day!!!
Hodi hapa!! sasa nimekua kidogo nimeweza kupita hapa.. hahahaaa.. umenichekesha sana, eti nitatangulia kuzeeka.. hahahaa.. ndiyo vzr ili uweze niudumia.. hahahaaa!! Nashukuru kwa salam zako. Natumaini upo poa kabisa. Nikutakie wakati mzuri. Pamoja sana kaka!!
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Ramadan Kareem!!
Asante sana kwa salamu. Sie wazima ila pirika zimenibana ndio sionekani sana Tulonge hivi sasa. Vipi watoto? Salimia wote
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2022 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service