Started this discussion. Last reply by Mama Malaika Mar 8, 2012. 10 Replies 2 Likes
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Kwaresma njema wadau. Tuutumie wakati huu kumuomba…Continue
Started this discussion. Last reply by eddie Oct 3, 2011. 27 Replies 2 Likes
Michango ya harusi ni moja kati ya vitu VINAVYONICHEFUA katika maisha yangu kwa sasa. Imekuwa ni kitu cha kawaida kwa watu kuchangisha wenzao pindi wanapotaka kuoa.Kwa nini usumbue wenzako kwa kutoa…Continue
Started this discussion. Last reply by KUNAMBI Jr Dec 16, 2010. 16 Replies 0 Likes
Kinatoa kozi zifuatazo:1. Ulevi - Mwezi mmoja 2. Ujambazi - Miezi sita 3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa…Continue
Belitaaaaaaaaaaaaa
Belita upo shosti?
Mimi mzima dada Belita, ww hujambo
Mrembo wa tulonge upo?
Belita asante kunikumbuka mpenda.
Mi mzima wa afya tele.majukumu tuu yamekuwa mengi.
Uwe na wakati mzuri rafiki.
Shost kwema?
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Posted on August 30, 2012 at 3:09 1 Comment 1 Like
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina imani na Tume iliyoundwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kuchunguza mauaji yanayodaiwa kufanywa na Polisi mkoani Morogoro wakati wa maandamano ya chama hicho.
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akitoa taarifa juu ya tukio la mauaji ya muuza magazeti wa…
ContinuePosted on February 13, 2012 at 21:30 17 Comments 0 Likes
Ni pozi zuri sana,wanaonekana ni wenye furaha sana. Kama ni kweli watu hukutana mbinguni baada kufariki, basi nadhani Whitney na Michael lazima watakumbushia pozi hili. Sijui nani atakua mpiga picha huko walipo? Tunawaombea wapumzike kwa amani.…
Posted on December 17, 2011 at 20:32 5 Comments 0 Likes
Plans have been concluded by the family of a man, Ifeanyi Sunday, whose lover, Chinyere Ezeala, died in his home at Ejigbo, Lagos State, Southwest, Nigeria after rounds of sex, to marry the deceased as tradition demands in order to be able to bury her.
The late Chinyere was a final year student of the Lagos State University, LASU, Ojo before her death.
Families of the deceased and her lover allegedly reached this agreement at the Ejigbo Police Station where the matter was…
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by