Tulonge

CHA the Optimist
  • Male
  • Dar es Salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

CHA the Optimist's Friends

  • Georgia Mushashu
  • Christer
  • Zainabu Hamis
  • Elias Clement
  • ANGELA JULIUS
  • Friday Kyando {The Concluder}
  • stela james
  • Selina Mahimbo
  • Gratious Kimberly
  • Silas A. Ntiyamila
  • mohamed selemani kilumba
  • ANGEL NEHEMIAH
  • Oswald
  • BARAKA FRANCO CHIBIRITI
  • Ndekia

CHA the Optimist's Discussions

HIVI UNAWAELEWA HAWA PPF NA SSRA?

Started Jun 30, 2016 0 Replies

Sina mengi ya kusema, ila kifupi ni kwamba; mfuko wa jamii wa PPF ambao umekuwa kwa kipindi chote ukitoa mafao kwa wafanyakazi walioacha au kuachishwa kazi, wamesitisha fao la kujitoa kwa madai kuwa…Continue

BOKO HARAM

Started this discussion. Last reply by Tegemea Mhikwi Feb 20, 2015. 3 Replies

Kano, Nigeria (CNN)Hundreds of Boko Haram gunmen on Sunday launched a predawn attack on the Nigerian…Continue

NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE

Started this discussion. Last reply by CHA the Optimist Dec 23, 2014. 25 Replies

Nimehama Facebook, nimerudi nyumbani kujenga kijiji cha TULONGE, naomba mfuate nyayo zangu wadau.Uzalendo huanzia kwenye vitu kama hivi. Kama unaungana nami sema "PamoJah"Continue

MAMBO MAZURI NA MAKUBWA YANAKUJA TULONGE, TEMBELEA MARA NYINGI UWEZAVYO

Started this discussion. Last reply by Mama Malaika Sep 19, 2014. 3 Replies

Habari wana wa TULONGE?Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha tu kuwa kuna mambo mazuri na makubwa yanakuja hapa TULONGE. Kama kawaida yangu huwa nikiahidi, lazima…Continue

 

Before GOD we are all equally wise and equally foolish!

Latest Activity

CHA the Optimist posted a discussion

HIVI UNAWAELEWA HAWA PPF NA SSRA?

Sina mengi ya kusema, ila kifupi ni kwamba; mfuko wa jamii wa PPF ambao umekuwa kwa kipindi chote ukitoa mafao kwa wafanyakazi walioacha au kuachishwa kazi, wamesitisha fao la kujitoa kwa madai kuwa wanatekeleza sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii nchini na ile ya Mamlaka ya Udhibiti na Uendeshwaji wa mifuko hiyo, SSRA. Kwamba ili uchukue pesa yako basi ni lazima ufikishe miaka 55 au sitini (umri wa kustaafu kwa hiari au lazima). Lakini wakati PPF wakifanya haya huku wakidai wanatekeleza…See More
May 24, 2017
eddie commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Nilikuwa busy sana...sikuweza kujibu on time. Huku kwema tu Dada Mama Malaika! Magufuli is My President. Nakwambia dada Magufuli amenifurahisha sana...maana miaka mitatu nilikuwa nasubiri waje jamaa wa ubalozi waje kuchukua finger print kwa ajili ya…"
Aug 23, 2016
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Hapa kazi tu @ kaka Eddie. Kwema sijui pande hiyo. Naona CHA kaadimika sana maana kasi ya Magufuli si mchezo, kazi ni kazi matumaini peleka Monduli. Teh teh teh......"
Mar 16, 2016
CHA the Optimist commented on Mama Malaika's photo
Thumbnail

Mkombozi wa Wanyonge

"Ameanza vizuri. Nitakuwa wa ajabu iwapo sintampa sifa zake. Yeye ni mbadala wa mtu niliyekuwa namtumainia yaani Lowassa."
Dec 10, 2015
eddie commented on CHA the Optimist's photo
Nov 15, 2015
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"CHA the Optmist... mbona kimya sana au bado haujarudi toka kwenye campaign za Luwasa??"
Nov 11, 2015
eddie commented on CHA the Optimist's photo
Nov 7, 2015
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"CHA the Optimist.... Msimamo wangu uko pale pale. Mtu anayejinadi iwapo atavhaguliwa uraisi atawaondoa watanzania kwenye umasikinu wakati huko kwao hajapafanya mfano watu wanataabika hata maji hakuna na huyo ni mbunge wa miaka mingi tokea CHA the…"
Sep 2, 2015
CHA the Optimist commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Mama M, in response to your statement, ni kwamba; makada mbalimbali akiwemo Mzee Kingunge Ngombare wamelalamika kuwa, uteuzi wa jina la mgombea kiti cha Urais kule Dodoma haukuwa wa haki ndani ya CCM. To put it in a nutshell, Mwenyekiti wa CCM…"
Aug 29, 2015
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"CHA the Optimist... nimeshangazwa sana na kitendo cha mtu kuhama chama chake kipindi cha majeruhi kisa hakupitishwa kusimama kuwa mgombea uraisi. Halafu mtu huyo huyo anahamia chama kingine na anakubali kwa moyo wote bila aibu kusimama kuwa…"
Aug 24, 2015
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"CHA the Optimist....... Kura yangu Ilikuwa nimpe Dr Slaa ya uraisi, na ya ubunge bi mdogo wa CHADEMA pale jimboni Kawe. Baada ya Dr Slaa kutosimama ugombea uraisi nimeamua kumpa Magufuli wa CCM. Juzi nilikuwa naongea na wafanyabiashara watano toka…"
Aug 24, 2015
Dunda commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Kura yangu itakwenda kwa John Pombe Magufuli ndie anaefaa baada ya kuondoka kwa Mzee wangu Dr Slaa.."
Aug 20, 2015
Dunda liked CHA the Optimist's photo
Aug 20, 2015
CHA the Optimist commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Ujanja Ujanja.............Mama Malaika!! Ila Lowassa naye ana records zake nzuri tu. Ila kubwa zaidi ni kwamba kwa sasa hapa Tanzania, kama ulivyosema watu hawachagui chama (huko ndiko wamefikia). Ila pamoja na…"
Aug 20, 2015
Mama Malaika commented on CHA the Optimist's photo
Thumbnail

Edward Lowassa VS John Magufuli Nani Zaidi?

"Mie siko ajili ya chama au ushabiki, kura yangu natoa kwa mtu hivyo nampa huyo John Pombe Magufuli. Huyu Luwasa alikuwa Premier few years ago sikuona chochote zaidi ya ujanja ujanja tu."
Aug 20, 2015
CHA the Optimist liked CHA the Optimist's photo
Aug 18, 2015

Profile Information

Email Address
charlztworld@yahoo.com

CHA the Optimist's Photos

  • Add Photos
  • View All

CHA the Optimist's Videos

  • Add Videos
  • View All

Comment Wall (275 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 0:33 on August 10, 2015, Mama Malaika said…
Asante sana kupita kwa page yangu. Wazima wote?
At 23:17 on August 2, 2015, Dunda said…

Mkuu wa Itifaki wazungu wanasema Long time not seee 

Vp upo mambo yanaendaje?

salam sana familia yako..

At 11:59 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Posuta! Mwalinda uli??
At 17:56 on January 16, 2015, Tulonge said…

Mkuu kwema huko? au na wewe umefichwa kama mimi?

At 16:29 on January 14, 2015, Gratious Kimberly said…

Chaaaaaaaaaaa

At 8:19 on January 6, 2015, Dixon Kaishozi said…

Happy new year CHA!!

At 15:07 on December 31, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year 2015
At 9:30 on December 24, 2014, ANGELA JULIUS said…

na wewe pia Cha be blessed wangu nami na family yangu tunakutakia Merry Xmass and Happy New Year

At 16:01 on December 18, 2014, Mama Malaika said…
"Always humble yourself lovingly before God and man, because God speaks to those who are truly humble of heart, and enriches them with His gifts." Padre Pio
At 20:44 on September 14, 2014, Mama Malaika said…
Asante salamu zimefika, na wao wanakusalimu pia. Najiandaa kuja piga kura 2015
 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*