Tulonge

Hashim Said
 • Male
 • Arusha
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Hashim Said's Friends

 • monica  nyaronga
 • Ruth Alfred Hongoli
 • Julius chilongani
 • upendo
 • jannie kikaro
 • Nina Saibull
 • Christer
 • ILYA
 • Thea
 • ANGELA JULIUS
 • Joan
 • Wa Kimberly
 • Belita
 • Mama Malaika
 • Dixon Kaishozi

Hashim Said's Groups

Gifts Received

Gift

Hashim Said has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Hashim Said's Page

Latest Activity

Hashim Said commented on Tulonge's blog post Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza
"Duuh, walotangulia ndo walofaidi. zamani hivyo vitu vyote iliwagharimu Magereza wenyewe, leo wamejitoa hata penseli."
Dec 20, 2014
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Orodha ya waliochaguliwa kufanya Usaili wa kujiunga na Jeshi la Magereza Tanzania Bara
"Safi sana Mwenyekiti!"
Dec 5, 2014
Hashim Said replied to CHA the Optimist's discussion NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE
"Asante sana!"
Oct 28, 2014
Hashim Said replied to CHA the Optimist's discussion NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE
"Hongera sana Tulonge, "PamoJah" tujenge Kijiji chetu!"
Oct 26, 2014
Hashim Said replied to CHA the Optimist's discussion NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE
"PamoJah"
Oct 26, 2014
Hashim Said liked CHA the Optimist's discussion NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE
Oct 26, 2014
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Hii kali: Mchungaji awashawishi waumini kula nyasi
"Mh! Naungana na wewe Mama Malaika! Kwanini huyu mchungaji haoneshi mfano wa kuongozwa na huyo roho wake kula nyasi? Mbaya zaidi anawakanyaga na viatu waumini wake. Hakika huyo siye mchungaji, anahitaji kuchungwa!"
Jan 11, 2014
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120
"Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma!"
Jan 2, 2014
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Wivu wa mapenzi wasababisha mchaga huyu kuchoma nyumba yake
"Ni kweli kabisa Tulonge... Siku hizi kujipiga risasi imekuwa kama fashion!!"
Dec 16, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza auawa na wananchi
"Siku zote usibishane na nguvu ya umma! Hutowaua wote hata kama silaha ya moto!"
Dec 16, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's video
Nov 28, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Usiku wa saa 7 mama huyu na wanae watatu wakiwa wamelala Feri DSM
"Ni kweli Mjata, huyu mama na familia yake anateseka sana kuliko kijijini kwao... lakini bado hatuwezi jua kilichomtoa kijijini, amekwepa balaa kubwa hadi akaona ni bora kutesekea kwingineko!"
Nov 28, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Tarime: Mwanamke akatwa mguu na mumewe
"Hata mimi ni mkoa huu wa Mara lakini sina roho hii!"
Nov 26, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo afanyiwa maombi ya nguvu
"Yaani badala ya kuiombea Tanzania iondoke gizni... eti viongovi wa madhehebu mbalimbali wanamuombea yule yule alotuweka gizani! Naungana na wadau CHA the Omniscient na Dixon Kaishozi."
Nov 26, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Songea: Mtoto wa miaka mitano akatwa panga mdomoni na usoni kwa kutuhumiwa kuiba mapera
"Mmh!"
Nov 25, 2013
Hashim Said commented on Tulonge's blog post Hoteli yenye vyumba chini ya bahari yafunguliwa kisiwa cha Pemba
"Usipite tu Angela, tunahitaji mchango wako! Hivi vyumba siyo vya kawaida ndugu yangu! Hofu yangu ni kwamba akitokea samaki mkubwa kama nyangumi akavunja kioo cha dirisha usiku utakimbilia wapi?!"
Nov 18, 2013

Profile Information

Occupation
Librarian
Email Address
hashimsaid@ymail.com
Phone No
+255 784 666770

Comment Wall (23 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:38 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.

Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.

Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.

PamoJah

At 9:33 on September 4, 2013, Mama Malaika said…
Nakutakia kila la kher kwa siku yako hii ya kuzaliwa. Mola akujalie maisha yenye afya na amani.
At 21:44 on February 22, 2013, Mama Malaika said…

Abeee! Nimeitikia, lol.... Nimefurahi kusikia toka kwako. Natumai uko mzima wa afya.

At 10:14 on February 22, 2013, Mama Malaika said…

Hashim bin Said, habari ya siku tele? Naona twapishana tu kijijini, Arusha watunyima nini? Nakutakia weekend njema

At 7:51 on February 16, 2013, Tulonge said…

Hamna shaka mkuu, nikitia maguu huko lazima niwasake.Pa1 sana

At 12:18 on February 14, 2013, Dixon Kaishozi said…

Kwema kabisa ndugu!!! yeah inatokea tunapotezana kidogo kutokana na pilikapilika za hapa na pale. kikubwa uzima!! Nashukuru kusikia kutoka kwako. Siku njema!!!

At 15:20 on February 12, 2013, Lucie said…

Hashim mambo?

At 12:01 on February 4, 2013, Dixon Kaishozi said…

Kaka tupo JIJI MOJA ? Nimekukumbuka ndugu yangu,.. siku njema!

At 11:53 on February 4, 2013, Mama Malaika said…

Hamjambo?

At 23:23 on August 23, 2012, Tulonge said…

Amani ipo hapa?

 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*