Started this discussion. Last reply by manka Apr 30, 2012. 17 Replies 0 Likes
Zile za kusimuliwa, Vp bado kuna zingine hujaacha mpaka leo na zinakuletea matatizo yoyote? Kama una mtoto je ameadapt tabia zako za utoto?
Started this discussion. Last reply by Holiness Bangereza Apr 30, 2012. 4 Replies 0 Likes
Karanga za kusaga nizaid ya nazi kwenye mboga na baadh ya vyakula.Unaungia nyanya chungu- unalia ugal na WaliUnaungia Bilinganya- unalia wali na Ugali.Samaki mkavu au alokaangwa hasa sato na sangara,…Continue
Started this discussion. Last reply by Holiness Bangereza Apr 30, 2012. 3 Replies 0 Likes
Tafuta nanasi iloiva ile tamu, then menya, toa macho, ikate kate vipande vidogo vidogo weka kwenye brenda then chukua nazi ya kopo mimina kiasi kwenye nananasi yako, kadiria kulingana na wing wa…Continue
Started this discussion. Last reply by Holiness Bangereza Apr 22, 2012. 15 Replies 0 Likes
JAMAA1 alienda kumnunulia MPENZI wake keki ya birthday, kanunua mwenyewe ya sh elf15 akapanda daladala kaishikilia isiharibiwe, mala akashuka ki2oni akatembea kwa umakin asijikwae keki…Continue
Holiness Bangereza has not received any gifts yet
Holiness umepotelea wapi dada
Jamani habari ya siku tele
Holliness habari za siku tele
Habari ya hapa dada mzuri
Jamani salama hapa Holiness mkwe wangu? Vipi mgonjwa anaendeleaje?
Kwema hapa
Salamu dugu na jamaa wote
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by