Saint Pascal of Zanzibar has not received any gifts yet
Habari za wote!
Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity
Happy Birthday!!
Habari yako kaka wa Kiduku hahahaaaaa.Ulinifurahisha ulipokua unacheza kiduku
habari kaka
Habari ya siku nyingi? Umejificha wapi?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by