"Mtu akiwa mgonjwa au akiwa anauguliwa hua anakuwa desperate sana, lugha mliyotumia baadhi ya wachangiaji sio nzuri coz huwez kujua dk aliwaambiaje, inawezekana figo zao hazifai kuwa transplanted kwa mgonjwa n.k. Instead ya kumkatisha tamaa mngetumia…"