Bila kuficha kwa wale walio wapenzi wa bongo flavor na wasio wapenzi ....kipaji cha 2nda kiko juu hata hivyo kwa wale waishio nje ya TZ nadhani wanatambua kuwa bango Favor na muziki wa dance unanafasi kubwa kutangaza muziki wa tanzania kuliko Hip Hop bongo....kwani ndio iliyo kuwa kivutio zaidi kuliko aina yoyote ya muziki toka TZ
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge