Add a Comment
Hahahahahaaa umenichekesha Nestory, eti juzi kakutoa bia 3.Hapo ndo utazidi kumkubali
mie naona vurugu tu hapo (au sijui ndio uzee unapiga hodi)...anaimba au wanaimbishwa..
kweli kaka tulonge lakini watu kama hao walikuwepo wengi ila walilewa sifa na pesa zikawavuruga mpaka sasa kimyaaaaa wako kapuni.by the way inabidi tuzid kumuombea aendelee hivyohivyo. kifupi hat mm namkubal dogo ni mkali na juzi kanitoa bia 3.
Dogo mkali aisee. Kaza buti
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge