LIKE NEVER BEFORE: SHILOLE ONE ON ONE WITH SPORAH Shilole well known as Shishi Babie (a.k.a) Kiuno (waist) is a singer, actress, a mother of two and a busine...
Tags:
Add a Comment
Pole sana kwa Shilole kwa maisha ya utotoni kuvurugwa. Sasa simama imara tu, maisha hayagandi.
Hata mwongozaji wa kipindi pia, tunaiga sana uzungu. Ndio maana siku hizi hata mbele ya wazazi, bitni anapita au kuketi nusu-uchi. Ukisema utaambiwa wewe "out dated" yaani wa kizamani, au umepitwa na wakati. Tukumbuke wakati ni ukuta. Hatushindani nao, tunajifunza kuendana nao vizuri.
Shilole amekuwa mkweli na muwazi. Nimeipenda. Halafu kuongea hivyo ni kipaji, sio watu wote wanaweza. Ila kimaadili, ningemshauri anapoonekana kwenye public avae nguo angalau iliyo juu ya goti kidogo, au suruali inayoficha maungo ya ndani. Hii ni kulingana na maadili ya kiafrika, na sisi ni waafrika. Kizazi chetu kiendeleze maadili yetu waafrika. Nguo fupi zina sehemu zake. Natumaini nimesomeka vizuri.
I have learnt alot from shilole, sporah, keep it up and introduce us other life experianced persons
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge