Tulonge

Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza kunufaika na mpango wa Power for Africa.

Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi za kwanza kunufaika na mpango wa rais wa marekani ujulikanao kama Power for Africa ili kusaidia kuondoa tatizo la nisha...

Views: 134

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on July 2, 2013 at 10:15
Kunambi Jr... Mie nitakuwa mkazi no.1 kuomba citizenship ya nchi yako utayoanzisha. No joke, nasema ukweli toka moyoni.
Comment by KUNAMBI Jr on July 2, 2013 at 9:21

Mungu nibariki nikaanzishe nchi yangu

Comment by Mama Malaika on July 2, 2013 at 8:37
Africa ndio bara duniani linaloongoza kwa power sources (in terms of water, solar, wind, gas, uranium, etc) na ndilo tegemezi la west. Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa power sources in east Africa na ndio inayoongoza kwa giza miaka yote. Leo hii eti kiongozi wa nchi asimama na kusifia Tanzania kuwa ya kwanza kwa mpango wa Power source. Just shaking my head
West wanachukua resources zetu Africa (gas, uranium, etc.) ikiwemo gas ya Mtwara, umeme wa jua wanayovuna kwenye power plant iliyojengwa na EU pale Tunisia kusafirisha solar energy kwa wakazi wa EU. Bado wanakuja kudanganya viongozi wetu utasema watoto. Ama kweli akili ni nywele...
Comment by tulamvone mwenda on July 1, 2013 at 22:46
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*