Tulonge

Tazama akina mama/dada wanavyo jiuza huko Kenya

Views: 768

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by tulamvone mwenda on August 13, 2013 at 13:47
tuombe msamaha mungu atusamehe.
Comment by Gratious Kimberly on August 5, 2013 at 11:51

Holy shit!!...these viruses are coming to TZ.....tunasema nchi imeharibika, majambazi, madanguro, madawa ya kulevya n.k.....tumezidi ukarimu. Mtanzania akiona wakenya au wanaigeria bongo, anawaabudu utafikiri wametoka sayari ya Pluto (its cold out there & no oxygen)....hawa hawa ndo wanatuletea tabia zao zisizo na mila wala malezi bora...wanatutapeli then wanatuacha na pesa yetu inazidi kushuka thamani(tangu lini pesa ya nauli ikajaa pochi)

Ukitaka kuona vizuri waangalie Wakenya au Ma-west tabia zao wakiwa nchi za nje kama Ulaya au amerika...wanatabia kama mbwa alafu hawajali,  kazi kwako mkarimu!!....Mjanga

Kaka  "Omar" hakuna uzuri hapo!....Ielewe mitaa...." Uzuri uko ndani  kwa nje mnajoiongopea"  by Fid Q!    Nimennuna hapa kama magugu ya Alfajiri!!

Comment by innocent on August 5, 2013 at 7:50

hii ni noma bana Tulonge

Comment by Omar on August 2, 2013 at 3:31
Fedha (money) au pesa ukiwa nazo hujui nini maana ya shida! Dah wakina wazuri na tu na nguvu zao wameamua wajiunge katika biashara ya kuuza sukari dah, shituka! Huko tunapokwenda kunatisha kabisaaa itakuwa ni ndoto watu kutenda mema kabisa!
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on August 2, 2013 at 1:41

Duuhhh....hii dunia jamani, tunakoelekea huko sio kabisa.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*