Add a Comment
Holy shit!!...these viruses are coming to TZ.....tunasema nchi imeharibika, majambazi, madanguro, madawa ya kulevya n.k.....tumezidi ukarimu. Mtanzania akiona wakenya au wanaigeria bongo, anawaabudu utafikiri wametoka sayari ya Pluto (its cold out there & no oxygen)....hawa hawa ndo wanatuletea tabia zao zisizo na mila wala malezi bora...wanatutapeli then wanatuacha na pesa yetu inazidi kushuka thamani(tangu lini pesa ya nauli ikajaa pochi)
Ukitaka kuona vizuri waangalie Wakenya au Ma-west tabia zao wakiwa nchi za nje kama Ulaya au amerika...wanatabia kama mbwa alafu hawajali, kazi kwako mkarimu!!....Mjanga
Kaka "Omar" hakuna uzuri hapo!....Ielewe mitaa...." Uzuri uko ndani kwa nje mnajoiongopea" by Fid Q! Nimennuna hapa kama magugu ya Alfajiri!!
hii ni noma bana Tulonge
Duuhhh....hii dunia jamani, tunakoelekea huko sio kabisa.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge