Tulonge

Umelipa ada halafu mwanao anaenda kufanya haya shuleni

Views: 225

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary on November 18, 2013 at 5:42
Kama jamaica vile ila dah! Hawa vicheche yaani ukiwa na watoto wawili unaweza kufa kwa presha
Maana loh! Au unaweza kupata kesi, mwenyewe katika pitapita zako unamkuta mwanao anabambiwa kiasi hicho na katulia je utamfanyaje? Mr tulonge nipe jibu sahihi toka ndani ya moyo wako
Comment by Mama Malaika on November 15, 2013 at 21:07
Hawa ni Caribbean na kama sikosi Jamaicans maana naisikia Patois (Lugha yao) kwenye video. Hao wanazaliwa watukutu na vitu hivi kwao kawaida, na ukichaa wanao hadi kwenye DNA.
Comment by Omar on November 14, 2013 at 22:22

Hasara aisee halafu unakuta mtu unajikwamua asome kumbe anafanya kama haya aisee labda nisijue mapema nikijua tu mimi na yeye mkataba unaishia hapo! lakini tusilaumu saana maji huwa yanafuata mkondo, hii new generation aisse tuombe tu mungu.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*