Add a Comment
Angela, Dada Diana haelewekagi!
nimepita tuu sijaelewa hata mimi.
Hata sijaelewa hii shughuli.. hata kama ni uswazi basi kautaratibu flan kangetumika ingekuwa poa sana.. Alafu sijui hapo ndiyo nyumbani kwa dancer wake ? hata sielewi elewi maana mmmmh.. kweli huku ndo kwetu na sisi ni sisi na wengine mafisi.. kamata fursa .. twenzetu!!!!
Wanawake vichwa waziii hapana aiseeeee...
Haiwezi kuwa Maulid hii, Mchanganyiko kati ya jinsia mbili ni mkubwa halafu hawachezi katika maadili ya kiislam.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge