Tukio hili lilitokea juzi katika show ya Kilimanjaro huko Dodoma baada ya mashabiki kuonesha kukasirishwa na kitendo cha Ommy kumtolea maneno ya kashfa marehemu Magwea siku chache zilizopita
Tags:
Add a Comment
Mmh we jamaa bana.
Ngear ni mtangulizi wake katika bongo flavor ni miongoni mwa waasisi wa tasnia hii dogo hana nidhamu tusinge mjua bila akina ngwear angepigwa kabisa.
Akome, ningekua mm nisingeenda Dom 7bb alishamtukana Marehemu Ngwea hata kama kaomba msamaha fans wake wengine ndo kama hivyo bado wana hasira!! pole yake next time atajifunza kuongea vzr
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge