Tulonge

JAMII (191)

Featured Discussions

Takia wadau wa tulonge mwaka mpya mwema 2012

Huu ndiyo uwanja wa kuwatakia mwaka mpya mwema 2012 wadau wote wa tulonge. Unaweza dondosha, au andika ujumbe mzuri wa mwaka mpya. Kazi kwa…

Started by TulongeLatest Reply

Discussions Replies Latest Activity

HIVI UNAWAELEWA HAWA PPF NA SSRA?

Sina mengi ya kusema, ila kifupi ni kwamba; mfuko wa jamii wa PPF ambao umekuwa kwa kipindi chote ukitoa mafao kwa wafanyakazi walioacha au…

Started by CHA the Optimist

0 Jun 30, 2016

mtoto mzuri is back

shikamoooooni woteeeee. nimewamiss sana hi to mama malaika don m mabagala.chaoga cha the great michuzijr dismas alfan mlali.dixon,mary mkum…

Started by mtotomzuri

11 May 12, 2016
Reply by araway kikaho

NATAMANI NINGEZALIWA ENZI ZA YESU KRISTU!

Sina mengi ya kuandika; ila kila nikijenga picha ya enzi za Yesu kupitia maandiko matakatifu--huwa napata shauku sana kuwa ningezaliwa kipi…

Started by CHA the Optimist

13 May 30, 2015
Reply by masoud

Nini kifanyike kwa kiasi cha fedha kilichopatikana kwa ajili ya watoto yatima kipindi hiki?

Hadi sasa mfuko wa watoto yatima una Tsh. 200,000/=, naona uchangiaji unasuasua sana.Nini kifanyike kwa kiasi kilichopatikana kwa ajili ya…

Started by Tulonge

16 May 9, 2015
Reply by CHA the Optimist

Nawapenda woooote

Ndugu zangu wana tulonge Habari za sikunyingi?, Nimekuwa kimya kidogo nafikiri kwakuwa majukumu yameongezeka, pia nimegunduwa kitu: nyumban…

Started by Omary

0 Apr 30, 2015

BOKO HARAM

Kano, Nigeria (CNN)Hundreds of Boko Haram gunmen on Sunday launched a predawn attack on the Nigerian city of Maiduguri and were locked in a…

Started by CHA the Optimist

3 Feb 20, 2015
Reply by Tegemea Mhikwi

NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE

Nimehama Facebook, nimerudi nyumbani kujenga kijiji cha TULONGE, naomba mfuate nyayo zangu wadau. Uzalendo huanzia kwenye vitu kama hivi. K…

Started by CHA the Optimist

25 Dec 23, 2014
Reply by CHA the Optimist

MAMBO MAZURI NA MAKUBWA YANAKUJA TULONGE, TEMBELEA MARA NYINGI UWEZAVYO

Habari wana wa TULONGE? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha tu kuwa kuna mambo mazuri na makubwa ya…

Started by CHA the Optimist

3 Sep 19, 2014
Reply by Mama Malaika

TUPANGE TUKUTANE WADAU WA TULONGE

Najua majukumu ni mengi sana, lakini ebu tupange angalau ka weekend fulani katika mwezi ujao wa nane ili tupige stori mbili tatu--palipo na…

Started by CHA the Optimist

11 Aug 4, 2014
Reply by vedasto mpamo

HIVI WAAFRIKA HATUWEZI KUJIENDESHA BILA WAZUNGU?

Nauliza pole-pole kama Sagatti---Ni swali moja tu lina maneno sita tu. Kuwa: HIVI WAAFRIKA HATUWEZI KUJIENDESHA BILA WAZUNGU? Nauliza hivyo…

Started by CHA the Optimist

8 Jun 18, 2014
Reply by Omary

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*