Tulonge

   Katika ndege walikuwa wakisafiri Cindy Crawford, Claudia Schifer na Naomi Campbel!

Muda si mrefu Pilot akatangaza kwamba ndege iko katika hali mbaya na watatua katika kiwanja kilicho karibu.

 Kusikia hivyo Claudia Schifer akachukua lip stick na kuanza kujiremba,

Cindy akamuuliza Claudia kwanini unajiremba wakati wowote ndege itaanguka, CLaudia akamjibu.....endapo ndege ikiangua ntakuwa wa kwanza kuokolewa kwani waokoaji wanaokoa  mzuri kwanza.

  Cindy kusikia hivyo akavua sidiria yake na kukaa topless, Naomi akamuuliza wewe mbona unavua, Cindy akamjibu Naomi, najua waokoaji wakija wataokoa aliye na matiti mazuri.

 Naomi kusikia hivyo nae akavua nguo zote, Cindy na Claudia wakamuuliza kwa pamoja kwanini wavua nguo zote, Naomi akajibu, navyojua mimi ni kwamba ndege ikianguka kitu cha kwanza waokoaji watatafuta BLACK BOX !!!

Views: 645

Reply to This

Replies to This Discussion

hahahaaaaaaaa!!! jamni jamani,. .,

hahahaaa.. hicho ndo huwa cha kwanza kutafutwa endapo ndege ikianguka!!

Ha haa haa haaa.... Naomi ana akili sana..... Ha haa haaa

hahahahaha.... hapo ndo mwisho wa upeo wake wa kufikiria huyo Naomi. shez realy crazy.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*