Tulonge

KUMEKUA NA KUNDI KUBWA LA WANANCHI USUSANI WANAO ISHI VIJIJINI KUKOSA ELIMU HII NI KUTOKANA NA KUTO KUJUA MAANA HALISI YA NENO SHULE HIVYO TUNAWAOMBA HAWA JAMAA WANAO TUTANGAZIAA KUWA WATATOA ELIMU BURE SASA KAMA WATU WENGI HAWA JUI MAANA YA SHULE WATAWARAZIMISHA.KUNAKIJIJI KIMOJA SILI YANGU MWENYEKITI WA KIJIJI HICHO AMEAMUA KUANZA KUJITOLEA KUWAFUNDISHA WANANCHI WAKE MNATAKA KUJUA NI WAPI.............. (.....)

Views: 225

Attachments:

Reply to This

Replies to This Discussion

Tatizo sio vijijini kukosa elimu bali pia kupata elimu inayostahiki. Kuna baadhi ya sehemu pia kuna shule lakini ziko katika kiwango cha chini kiasi kwamba ni sawa na hakuna. Ingawa wako watu wanaojitolea na wanaojitolea kutoa elimu bure, lakini bado hilo ni jukumu la serikali. Nashangaa kwa nini serikali iwe madarakani kwa makumi ya miaka na bado baadhi ya vijiji vikose shule. kweli tanzania bado ndo badooo tunaanza!

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*