Tags:
hongera sana mzazi, itabidi sasa uchukue likizo ndefu ili uwajibike nyumbani kumsaidia mama watoto kwa kipindi hiki.
Hongera sana bonielly,Mungu awajalie afya njema ili muweze kumlea malezi bora.
Karibu kwenye Ubaba mkuu, jiandae kulea sasa. Tena nilikua napenda uwe na mtoto na mama yake ili uone kimbembe cha kulea mtoto. Utakoma usiku, toto linalia balaa.Halitaki kulala wala nn.
Hongera sana kaka
Hongera Sana. Wewe sasa ni mme, na sio mwanaume.
Mmmh! acha mchezo wewe Boni, mitoto ya kiume ndiyo misumbufu balaa. Inanyonya balaa hadi mzazi anakonda. Kama siku hiyo maziwa hayatoshi ndo utalijua jiji. Watoto wa kike hawanyonyi sana, wananyonya kidogo tu then wanalala. Ngoja tumuulize Mama Malaika kuhusu hili.
Bonielly said:
kaka dis mwanangu akimaliza arobaini tu, anakuja geto, kuhusu usumbufu huyu wananiambia akwa na njaa anasumbua hata usiku lkn akishiba yeye ni usingizi hana bifu na wazazi wake, watoto wa kike ndio wasumbufu sana, dada yangu moni nashukuru kwa pongezi naahidi kumlea na mungu awe kiongozi wangu ili shetani asinitawale,
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by