Tulonge

A women from Tz is sitting in a bar in New York with 2 guys beside her.

The 1st guy says 2 the barman ; JOHNIE WALKER, SINGLE

The 2nd guy blurts; JACK DANIELS, SINGLE

the bartender approaches the lady and ask YOU MADAM?

She replied with confidence ; ASHA SELEMAN; MARRIED !!!

Views: 559

Replies to This Discussion

ha ha ha ha ah kweli hii happy women day...teh teh teh

Hahahahaaaa... Nawapongeza wanawake wote.. natumaini i made their day.. HAHAHAHAAAA

Hilarious!!

hahahahahahaha dah yaani nimecheka mpaka macho yamepotelea kusikojulikana tehetehetehetehe..

Teh teh teh hayo mavinywani/vyakula vya mahotelini huwa yananitoa ushamba hata mimi. Nikienda hotel kubwa kubwa halafu niambiwe niagize hata sielewi niagize nini, hata akinitajiwa sivijui sometimes hata nikipewa menu najikuta sikijui hata kimoja hahahahahaaaa. Huku kula kwa mama magengeni kutatuumbua.

kwi kwi kwiiii,ha haaaaa,really u made our day.

Hahhhahahahaahahahahhaaa Christer Malima single, aaah sorry Christer Malima married! sijui hiki kinywaji kipo hotel hii au hakipo, bartender anaweza niambia madam sorry sikijui kichwaji unachohitaji. We Dis huna haja ya kusema mengi hata kwenye tulonge party mi ndo nlikuchagulia kinywaji hukujua unywe nini, hahhaahhahaaaa.


Hahaaa.. Christer Malima.. in a relationship!!! hahahaa
Christer Christopher said:

Hahhhahahahaahahahahhaaa Christer Malima single, aaah sorry Christer Malima married! sijui hiki kinywaji kipo hotel hii au hakipo, bartender anaweza niambia madam sorry sikijui kichwaji unachohitaji. We Dis huna haja ya kusema mengi hata kwenye tulonge party mi ndo nlikuchagulia kinywaji hukujua unywe nini, hahhaahhahaaaa.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*