Tulonge

Musa kijana wa std 8 alikuwa akipendana na demu classmate wake kwa jina Halima. Ingawa babake Halima hakusoma shule, alikuwa strict sana na mwanawe na alitaka asome awe daktari. Walipofunga shule, Musa akataka kumuona kipusa wake wa geti kali. Akakaza roho akatia timu kwa kina demu:
MUSA: Hodiiii. BABA HALIMA: Karibu (Akamfungulia mlango). MUSA: Shikamoo. (mzee akamuitikia). Ni......likuwa nnakuja kumuomba kitabu Halima kabisa anionyeshe hesabu zengine yeye azijua mimi zanitatiza. (Halima akaitwa na babake akaja). MUSA: Nilikuwa nnakuja kuomba kile kitabu cha 'You know i cant live without you' na kile cha 'Your paa doesnt understand English can we sit and talk' kabisa pia unifundishe hizi hesabu. HALIMA: Sawa nnacho pia kile cha 'He will be going out in a moment, we will be free' ntakupa hicho. BABA: Hahahahahahaha, MashaAllah watoto mwasoma kwa bidii vitabu vyote hivyo!

Views: 382

Reply to This

Replies to This Discussion

Hilarious! Ha haa haa haa haa haa.....

Hahahahaha tamu hyooo

Baba ZOBA!

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*