Tulonge

Nimesikia watu fulani wakisema kuwa hakuna mtu mwembamba, na kwamba mtu anakuwa mwembamba eti kwa sababu ya shida yaani njaa yaani hapati lishe nzuri! Je, kuna ukweli wa hilo wadau?

Views: 1078

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahahahaa! mimi pia naamini kuwa kila mtu anaweza kuwa mnene ila matatizo ya kidunia ndio yanachangia watu kuwa wembamba sana kuliko wenzao.Siku wakipata nafasi na wakaridhika na maisha wanakuwa vibonge.

Kuna wengine hata wale vipi... wanabaki kuwa wembamba tu... heheheee

wapo watu wembamba wa asili hao hata kama uwafanye nini hawanenepi, lkn wapo wembamba wa shida si za njaa mali matatizo mbalimbali, wakipata nafasi watu hao nuksi, utawakimbia na wapo wanene ambao wakipata sida wanakuwa wembamba na wapo wanene ambao hao hata wakipata shida, kuwa wembamba ni historia,

kwahiyo wembamba wapo wembamba wa asili,

Mimi binafsi nilisha wahi kumuona mzungu mwembamba yani ata upepo mkali unaweza kumrusha na mahali anapo ishi ni hoteri za kitariii Arusha hivyo pesa zipo hana shida ila kazaliwa mwembamba, wapo jamani.

Kila mtu na perception yake. Kwa wanaoamini kuwa hakuna mtu mwembamba, naona wanakosea sanaaaaa! kwa sababu unaposema hakuna mtu mwembamba ni sawa na kusema hakuna mtu mfupi duniani--na ukaongezea kusema "naamini kuwa kila mtu anaweza kuwa MREFU ila matatizo ya kidunia ndio yanachangia watu kuwa WAFUPI sana kuliko wenzao. Siku wakipata nafasi na wakaridhika na maisha wanakuwa WAREFU (rejea maoni ya Alfani) Ila kwa msaada zaidi angalia haya: endomorphectomorph. Having said that let me sign out!

Hahahaa.. nimekusoma kaka CHA!!!

hahahahahahhaaha! Mkuu Cha The Great... Urefu/ufupi na Unene/wembamba ni vitu viwili tofauti kabisa.. Kama  mtu mnene anaweza kufanya "diet aka mpangilio wa vyakula" pamoja na mazoezi na akapungua sana kiasi cha kuwa portable aka mwembamba kwanini ishindikane kwa mtu mwembamba kufanya "diet" kwa style tofauti na yeye akawa mnene aka bonge??

Ninavyojua mimi na kuamini ni kuwa Mungu hakuumba wanene na wembamba bali kaumba weusi,weupe,warefu wafupi. Unene au wembamba ni matokeo ya maisha anayoishi mtu na yeye kuamua aweje. hata wewe Cha ukiamua kuwa mnene utaweza na utakuwa boonge la mtu kama "The Big Show"! tehtehetehetehetehetehetehetehet

Cha the Great said:

Kila mtu na perception yake. Kwa wanaoamini kuwa hakuna mtu mwembamba, naona wanakosea sanaaaaa! kwa sababu unaposema hakuna mtu mwembamba ni sawa na kusema hakuna mtu mfupi duniani--na ukaongezea kusema "naamini kuwa kila mtu anaweza kuwa MREFU ila matatizo ya kidunia ndio yanachangia watu kuwa WAFUPI sana kuliko wenzao. Siku wakipata nafasi na wakaridhika na maisha wanakuwa WAREFU (rejea maoni ya Alfani) Ila kwa msaada zaidi angalia haya: endomorphectomorph. Having said that let me sign out!

hahahahaaa.. yani umeamua kumtolea ndugu yangu mfano? unajua we alfan lazima ulempambano wetu tuurudie.. safari hii hakuna kuingia mitini.. maana naona adabu imepungua .. HAHAHAHAAAA

Hahahaahahahaha!! Mpambano inabidi tuuahirishe kdg maana sijafanya matizi kitambo...tehetehethetee

Dixon Kaishozi said:

hahahahaaa.. yani umeamua kumtolea ndugu yangu mfano? unajua we alfan lazima ulempambano wetu tuurudie.. safari hii hakuna kuingia mitini.. maana naona adabu imepungua .. HAHAHAHAAAA

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*