Tulonge

INAPENDEZA NA INAVUTIA .JAMAA BAHARIA WA KIMAREKANI NAJUMUIKA NA WASHIKAJI LOCAL BAR TUNGI KIGAMBONI. ANAPATA ZA MOTO PEMBENI KOMONI MARA MNAZI MIDA MBEGE SAFI SANA .TUACHE KUJIKUZA ETI TBS BIA ZOTE ZINALEWESHA SAFI SANA
MCHEKI KWENYE PICHA HII

Views: 592

Reply to This

Replies to This Discussion

Safi sana mzungu kwa kujichanganya,ila angalia wasikuibie.Maana akili za wahuni wa kibongo zinawatosha wenyewe.
hiyo imetulia sana

Mzungu mwenyewe anaoneka mwizi tu.

sema mkwanja umemuishia mzungu kaamuwa anywe mabuyu lol.

Omary... ha haa haaaaa. Ujue ukiwa Rome ni vizuri uishe kama warumi. Na ndio wanavyofanya wazungu, wakiwa bongo wanaonja na vya bongo. Wakienda uchina watakula nyama ya mbwa, paka, nyoka, mbwa na vinywaji vya uchina.

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*