Tulonge

Je ni jambo la busara kuoa wake wanne kama Uislamu unavyo ruhusu???

Dini ya kislam inaruhusu mwanamme mmoja kuwa na wake wanne ili mradi uwe na uwezo wa kuwatunza. Je ndugu zangu waislam na wakristo mnalizungumziaje hili suala? hasa kwa kuzingatia Mgongano kati ya wake hao,maambukizi ya magonjwa nk.

Views: 500

Reply to This

Replies to This Discussion

Wewe Severin naona unataka pachimbike hapa. Ukitolewa manundu usilie.
kaka SEVERIN plz mijadala inayohusu imani za watu waachie wenye imani zao PLZ,Mbona mambo ya kujadili yako mengi ?Nchi yako yenye mito,maziwa ,mapolomoko ya maji,upepo mpaka leo MAJI,UMEME Matatizo? just lete mada kama hizi au MAFISADI,UCHAKACHUAJI KTK CHAGUZI ZETU,BARABARA MBOVU,POLISI WAUA WATU NK,PLZ JIEPUSHE NA MADA ZA DINI NI IMANI ZA WATU ,USIJE KUONEKANA MWANAMPOTEVU PLZ, MAONI YANGU NI HAYO KWAKO KAMA NIMEKOSEA NAOMBA MSAMAHA KWAKO KAKA.

Yah, kweli kabisa mijadala ya kidini sio mizuri kila mtu ana imani yake na anaiheshimu...Waislamu wana sababu ya kufanya hivyo na ndio maana wanaikubali...hivyo waachie wenyewe usiingilie na kutaka kuwapotosha!

kama m/mungu ameruhusu basi kuna sababu maalum,kwa mfano nikupe kisa,enzi za mtume kuna mtu alimuendea mtume[s.a.w] akmwambia kuwa maisha yake ni ya shida sasa afanyaje ili yabadilike,mtume akamuuliza vp umeoa,yule jamaa akajibu hapana,basi mtume akamshauri aoe mke,ndipo yule mtu akaondoka,lkn akarudi tena kwa mtume baada ya siku kadhaa na kumuambia mtume kuwa maisha yake yamezidi kuwa magumu,mtume akamuambia ongeza mke wa pili,lkn tena akarudi tena na tena mpaka alipofikisha mke wa nne,ndipo maisha ya ke yakachange kwa kuwa yule mke wa nne alikuwa anajituma sana,so its good,kwa sababu kila mke ana baraka zake
nakubaliana na nyau kuna mengi ya kujadili
likoni nyau said:
kaka SEVERIN plz mijadala inayohusu imani za watu waachie wenye imani zao PLZ,Mbona mambo ya kujadili yako mengi ?Nchi yako yenye mito,maziwa ,mapolomoko ya maji,upepo mpaka leo MAJI,UMEME Matatizo? just lete mada kama hizi au MAFISADI,UCHAKACHUAJI KTK CHAGUZI ZETU,BARABARA MBOVU,POLISI WAUA WATU NK,PLZ JIEPUSHE NA MADA ZA DINI NI IMANI ZA WATU ,USIJE KUONEKANA MWANAMPOTEVU PLZ, MAONI YANGU NI HAYO KWAKO KAMA NIMEKOSEA NAOMBA MSAMAHA KWAKO KAKA.
Kwanza kbs inatakiwa ujue Kila Dini ina sheria na kanuni zake. Pia ujue kuna halali na haramu (batwili). Ukishavijua hivyo vyt huwezi pata tabu ktk jawabu. Kuhusu hilo Sheria ya Dini Y Kiislamu inaruhusu lakini kwa masharti maalim yaliyo wekwa na Mungu. Moja wapo ni kujiweza kihali  (kuwatimizia mambo ya ndani) na kimali (kuwatimizia mahitaji yao ya kila siku familia yote). Na usiwe na ubaguzi na upendeleo, hapo ndoa utaiweza. Lakini ukikengeuka tu, hapo ndipo ukimwi na mengineyo yatakukumba!

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*