Hivi mtu akikuambia leo uishi bila cell phone kwa muda wa wiki moja utaweza????
Leo (3rd April) ni maazimisho ya miaka 40 tokea cell phone ilipoanzishwa. Hivi sasa karibu wakazi wote duniani wategemea/endesha maisha kutumia cellphones kuanzia kutuma pesa hadi wakulima kujua bei ya mazao yao kwenye masoko.
Hivi mtu akikuambia leo uishi bila cell phone kwa muda wa wiki moja utaweza????
Tags:
simu mpango mzima ndo kila kitu mtu wangu.
Duuuh! huo utakua mtihani mkubwa. Maana nitakosa madili ya hela kabisa teh teh teh, maana dili zangu nyingi zinapitia kwenye simu.
Kwa ulimwingu wa sasa haiwezekani kabisaa yaani ukitaka mr tulonge arudi kijijini we mwambie asiongee na cm kwenye jiji la Lukuvi sijui nani? analishikilia kwa sasa! cm ndio mambo yote kwa maisha yetu ya sasa.
Hehehee.. bila simu ni issue nyingine jamani, Nyie angalie pale NETWORK inapokuwa chini.. kila mtu anatukana kivyake.. na hapo ni kwa mda kidogo tu.. ije iwe wiki ? hahahaaa
aiseeeeeeee dakika moja hata ikikorofisha naruka kariakoo ziko mpaka za 17000 nachukua simu siwezi.
Ni first piority kwangu
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by