Tulonge

Jiandae kujishindia PAMOJAH tshirt na muda wa maongezi kwa kushiriki katika pamojah quiz.

Shiriki katika kinyang’anyiro cha kujishindia tshirt ya PamoJah + vocha ya (sh5,000) kwa kujibu maswali 10 ambayo yatakua ya kuchagua. Maswali yote yatahusu mambo yaliyopo ndani ya Tulonge.

MUDA WA SHINDANO KUKAA HEWANI.

-Kuanzia tar 09/02/11 hadi tar 12/02/11

 

MASHARTI.

  1. Lazima ujisajili Tulonge ili uweze shiriki.
  2. Mdau yoyote atakayejiunga na Tulonge baada ya shindano kuanza hataruhusiwa kushiriki.Tunaepuka mdau wa zamani kujisali mara ya pili kwa jina tofauti endapo ataona amekosa maswali mengi baada ya kujibu kwa mara ya kwanza.Ni vema ujiunge kabla ya shindano kuanza.
  3. Mdau hataweza shiriki zaidi ya mara moja. Ukisha bofya ‘button’ ya kutuma majibu yako huwezi rudia kujibu wala kurekebisha majibu uliyotuma.
  4. Mdau wa KWANZA kujibu maswali mengi kwa usahihi ndiye atakua mshindi wa kwanza,na yule atakayekuwa wa PILI kujibu maswali kwa usahihi ndiye atakua mshindi wa pili. Hii inamaanisha, endapo wadau zaidi ya mmoja watapata majibu sawa basi atapewa nafasi ya ushindi yule wa kwanza kutuma majibu yake.
  5. Kutakua na washindi wawili tu,wa kwanza nawa pili.
  6. Wadau watakao shiriki kujibu maswali tu ndiyo wataweza wa kuona matokeo ya shindano. Endapo hutashiriki hutaweza kuona matokeo.

 

ZAWADI:

-Mshindi wa kwanza: PamoJah tshirt moja na vocha ya (sh 5,000)

-Mshindi wa pili: PamoJah tshirt moja.

 

Angalizo:

-Zawadi zitakabidhiwa kama zilivyo kwa washindi,hazitageuzwa kuwa fedha nk.

-Washindi watakabidhiwa zawadi zao na kamati ya tulonge Dar. Kwa wadau walio nje ya

 Dar watafanya jitihada binafsi ili kuhakikisha wanapata zawadi zao.

Views: 339

Reply to This

Replies to This Discussion

mkuu imekaa vizuri hiyo lete maswaliiiiiiiiiiiiiiiiii fasta mbona unachelewa
Dah! me 4n yangu haina hata ya kubeep hebu fanya haraka nichukuwe buku 5 nilonge.

Mbona mna mzuka nyieeeeee? Si mmeambiwa shindano litakuwa tarehe 9????

Wenye ushindi wetu tumekaa kimya tunasubiri kujizolea mitisheti na mivocha!! hahahahahhaa

Kwa wale wanaotaka madesa/feki wataniona........kila jibu 5000/=

 

mhh nahisi kuibiwa majibu yangu hapa Mlali simuaminii
IKO POA HEBU POROMOSHA HAYO MASWALI
Nyie pigeni kelele tu,najua zawadi ni ya kwanza ni yangu.

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*