Kuna jamaa mmoja alitoka kanisani kufika nyumbani akaanza
kamkumbatia Mke wake na kaanza kumnyanyua
nyanyua juu mke wake akamuuliza mbona leo
hivyo wakati sio kawaida yako jamaa akasema LEO
MCHUNGAJI KASEMA TUYA NYANYUE MATATIZO YETU KWA BWANA....!!!
Tags:
MIMI NINGEFANYA KAMA YEYE ALIVONIFANYIA THEN NASEPA KILA MTU AWE NA MAISHA YAKE.
kama ningeweza pata chance kama hiyo ningefanya.. hahahahaaa
HA HA AH AHA.... DUH KWA HIYO JAMAA TATIZO NI MKEWE SIO TEH TEH TEH TEH....
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by