Tulonge


Definition of kiss
-------------------------

Prof .of Economics   

Kiss is that thing for which the demand is aways higher than the supply. 
 
 
Prof. of Accountancy     

Kiss is a credit because it is profitable when returned. 
 
 
 Prof. of Algebra     

Kiss is infinity because two divided by nothing.
  
 
Prof. of Geometry     

Kiss is the shortest distance between two lips.
 
  
 Prof. of Physics     

Kiss is the contraction of mouth due to the expansion of the heart. 
 
  
Prof. of Chemistry     

Kiss is the reaction of the interaction between two hearts. 
 
  
Prof. of Zoology     

Kiss is the interchange of salivary bacteria.
 
 
 Prof. of Physiology     

Kiss is the juxtaposition of two orbicularisoris muscles in the state of contraction. 
 
 
Prof. of Dentistry     

Kiss is infectious and antiseptic.
 
 
 Prof. of Philosophy     

Kiss is the persecution for the child, ecstasy
for the youth and homage for the old. 
 
  
Prof. of English     

Kiss is a noun that is used as a conjunction, it is more common than proper, it is spoken in the plural and it is applicable to all. 
 
  
Prof. of Architecture     

Kiss is a process which builds a solid bond between the two dynamic objects 
 
 
 
Prof. of Comp.Science     

What is a kiss? It seems to be an undefined variable

Views: 433

Reply to This

Replies to This Discussion

nahisi prof wa economics yuko sahihi.

Ebwana  hiii kitu imetengamaa zaidi, maprofesa wengine wamejaribu kuchemka!.

Nimependa sana maana aliyoitoa Profesa wa Kemia.

Lakini hapa kaka Eddie@ umesahau kutaja Profesa wa Kiswahili:Yeye anasema hivi:

"Kiss: Ni kitu inayomuwezesha au  kumpatia mwanadamu elimu bora ya kuyajua  maisha na hatimae kumpa furaha na saada katika maisha."

Hahahah imetulia sana.

Hiyo ya Prof. of Zoology and Prof. of Dentistry inakufanya ufikirie mara mbili. Ha haa haa

Big up pro. wa accountancy.

Wewe ni accountant  Miss MALIMA, huenda ikawa field yako ndio maana unaifagilia sana hahahaha!
Miss Malima said:

Big up pro. wa accountancy.

Eddie uko juu, hahahahhhahhaahaaaa naona unaweza kuja kuwa Sheikh Yahya baadae, eeeeh mwamba ngoma huvutia kwake, Big up accountancy pro.!!!!

Huyo prof. wako wa kiswahili @ILYA, akishakaa na wenzake wakila zile nyama choma kwa mama ntilie, sidhani kwamba atakuwa na kauli nzuri na ya mafundisho hahahahahaha! Chalii_a.k.a_ILYA said:

Ebwana  hiii kitu imetengamaa zaidi, maprofesa wengine wamejaribu kuchemka!.

Nimependa sana maana aliyoitoa Profesa wa Kemia.

Lakini hapa kaka Eddie@ umesahau kutaja Profesa wa Kiswahili:Yeye anasema hivi:

"Kiss: Ni kitu inayomuwezesha au  kumpatia mwanadamu elimu bora ya kuyajua  maisha na hatimae kumpa furaha na saada katika maisha."

Hahahah imetulia sana.

Dada kusema kweli ukiangalia kwa undani na maneno waliyosema hawa maprof. wawili ie. Zoology na Dentistry mtu atasita kubusu  au kama wasemavyo waswahili( KULA MATE AU DENDA) hahahah!

Mama Malaika said:

Hiyo ya Prof. of Zoology and Prof. of Dentistry inakufanya ufikirie mara mbili. Ha haa haa

kaka EDDIE.... Hiyo definition of kiss toka kwa maprof. wa Zoology & Dentist iwapo itabandikwa kwenye night clubs & bars, mtu aliyezoea one night stand or sex with a stranger siajabu ataacha kabisa mtindo wa kula mate.

Hahahhhahhahaaaaaa, mama umenifurahisha saaaana.

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*