Ile kuwezesha wadau wa Tulonge kufahamiana zaidi na kurekebishana tabia, kamati ya Tulonge imekaa na kuamua kuanzisha kipengele
hiki cha “Mdau wa mwezi”. Kila itakapofika mwanzo wa mwezi picha ya mdau mmoja
itawekwa ukurasa mkuu (home page) na wadau wengine watapata nafasi ya kutoa
maoni juu ya mdau huyo.Maoni hayo yatalenga juu ya tabia (mbaya au nzuri) ya
mdau huyo jinsi anavyoonekana hapa Tulonge.Pia mdau huyo atatakiwa kujibu
maswali yote ambayo ataulizwa. Picha hiyo itakaa kwa muda wa siku tano.
Tags:
Ngoja na mimi niwe kama mbunge wa CCM kwa kusema naunga HOJA. Tehe tehe tehe tehe! Just utani jamani.
Bwana Dismas, hongera sana, kwanza kwa kutuweka PamoJah kama hivi na pili kwa hili ambalo linakuja soon! You have done something so unique. Hongera sana mdogo wangu.
Tupo PamoJah.
One Love!
Nakubaliana nawe Dismas, na pia ombi langu kubwa ni kuwa uanze kwa kuweka picha ya Alfan
Naunga HOJA,naomba tuanza na MR.TULONGE.
makubwa
Naunga HOJA 100% !!!! WAZO: Itakuwa vizuri kama utapata wasifu wa "mdau" utakaye muweka ili watu waweze kujua undani wa mdau husika vizuri.. alafu kuchangia hoja na kumuuliza maswali itakuwa rahisi.... Natumaini hii mambo itaanza soon!
Nakutakia kheri
PamoJah.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by