Tulonge

Chaoga ndiye mdau aliyepata bahati ya kutufungulia kipengele hiki. Toa maoni yako juu yake.

Views: 685

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

safi sana kaka Dis, hiyo imetulia sana
Naomba uniambie kwa nn ww MLEVI sana. Inamaana hujui mdhara ya pombe??? Jibu haraka tafadhali.
@ebwana mkuu Dis hii imetulia,naanza na huyu jamaa, kwanza inaonyesha ni mroho wa kilevi, ukiangalia body yake imekaa kibiere biere tu, then anapenda sana kujipa raha,halafu kwa body hiyo ni full misosi hapo, big up mzee chaoga!
Andaa majibu nakuja na maswaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ha ha ha ha ha ha! Mi binafsi namkubali sana CHAOGA, kwa sabu ni mtu anayeongea na kila mtu. Hana mbwembwe, ni mkarimu na msikivu kama Julius Nyerere.
Hahahahahahaha! Safi sana hii, mwili nyumba mlevi kama komba!!

Mkuu Chaoga naomba majibu ya maswali yafuatayo:
1. Nini siri ya mafanikio yako hasa kwenye suala la "kitambi"
2.Ukiambiwa uchague kati ya kupewa zawadi ya soda kreti moja au upewe bia 3 utachagua nini?
3. Uzito wako ni miligramu ngapi??
Hi hi hiii,chaogaaaa.
Mi ningependa kufahamu kama hili jina la CHAOGA
ni lako kiukwelii au ni lakisanii.
sijui nianze kujibu lipi jamani ha ha haa ha ha maana nimechelewa kuingia hapa leo kutokana na kutingwa na siku ya UKIMWI duniani na wadau wa kujali afya lazima tujumuike siku muhimu kama hii
hili jina ni langu kabisaa @wa mkumbo,

wewee alfani acha uchokozi siri ya kitambi kama ujuavyo mwenyewe ni kukosa muda wa kula tizi, na kuhusu hivyo vitamutamu (soda) kwa kweli kwangu havina nafasi kabisaa nikikosa maji au juisi basi laga inachukua nafwasi yake, na kuhusu uzito wiki iliopita nilipima nina vijikilo 90 tu ha ha ha haa.

Na wewe kunambi kwenye kula kaka unansingizia tu mkuu, kisikudanganye kitambi hiki mie zaidi ni matunda tu ndio kwa wingi. ila kwenye raha kwa kweli hapo umenena raha mtu hujipa mwenyewe usingoje kupewa ndio staili yangu ya maisha....
DADA BELITA MIE SIO MLEVI KIHIVYO SIJAWAHI KUNYWA MIE CHINI YA SAA 12 JIONI NAHESHIMU SANA KAZI YANGU, MIE SIKU 365 NIKO KAZINI KAMA NINGEENDEKEZA POMBE SIDHANI KAMA NINGEIMUDU...
chaoga asante kwa kujibu swali langu.
kaka kwanza hongera kwa kuinua pato la taifa[ kwa kunywa vimiminika vya wakubwa] laiti kama wadau wote tungefata nyayo zako basi umasikini ktk taifa letu leo hii ingekua historia, pongezi zangu za pili kwako ni ujasiri wako wa kuwapa ridhiki vijana wetu vinyozi[nywele hazioti kabisa],ushauri wangu kwako bado tuna kupenda punguza mwili kidogo japo kwa joging za kila jpili,uko unakoelekea isije shemeji hakarudi MATOMBO bure kwa kushindwa kumpa LIGWALIDE lake na kukaribisha yule jamaa SHELL wa kule mitaa ya BP. Nakutakia kazi njema na maisha marefu.
Dah! Kaka Chaoga kwanza nafurahi tumeanza na ww m2 mzima samahani naweza kujuwa kabila na unafanya nn? unapoamka asubuhi mpka inafika usiku? una mke na watt? je kimaadili unawaleaje? i mean una muda maalum wa kukaa na watt wako? japo siku 1 kwa week au mwezi? ili kujuwa tabia zao na ungependa watt wako wawe na tabia gani? maana maadili hutoka kwa wazazi pls nidadavulie.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*